Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa


Hongera yako wewe uliweza kumove on coz haukuwa attached or deep inlove na huyo manzi...mimi niachwa na manzi ambaye nilikuwa nimemweka rohoni..moyoni ..kwenye mapfu..kwenye ubongo..kwenye kila kona ya mwili wangu..alivyoniambia its over nilipambana lakni wapi..kumbe mwenzangu alikuwa amenisave kwenye simu tu..so kunifuta ilikuwa siyo ishu...mpaka leo nipo nashindwa kwa na mahusiano nipo nipo tu..cna mpango wa kwa wala nn??

Jamani mapenzi mabaya nyie...usiombe ukutwe na hili jaribio..
 
Anza kujipooza kwa wahaya then utakua okay

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyewe napambana na hali yangu kama wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True mkuu...
Kuna mtu ni kama anakushika nyota yaani unakuwa dhaifu kwake kwa kila kitu, mbaya zaidi anakuwa anajua wapi pa kuingilia na akiingia huchomoi kirahisi. Mtu kama huyu akikuacha huwa ni ngumu kudeal nayo ila wengine kawaida tu
 
True mkuu...
Kuna mtu ni kama anakushika nyota yaani unakuwa dhaifu kwake kwa kila kitu, mbaya zaidi anakuwa anajua wapi pa kuingilia na akiingia huchomoi kirahisi. Mtu kama huyu akikuacha huwa ni ngumu kudeal nayo ila wengine kawaida tu

Bora wewe umeliona na kulikubali...nilimpenda yule manzi..yani mpaka nikihema nahisi kila punzi inatoka na jina lake...cjawah kupenda hivyo...
 
themanhimself176, Mbona wajichanganya!!!
Mara hukumbuki kuacha wala kuachwa mara umeacha na kuachwa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Mimi imenitokea jana usiku, huyu dem ananipenda sana, tatizo ana maisha flan classic halafu yuko mjini, anachotaka nimgharamikie mimi maisha hake, mfano kodi ya nyumba nilipe mimi, akiugua nimtibishe, chakula nimnunulie mimi pamoja na ndugu zake anaoishi nao, nami kimaisha sijakaa fresh bado, ndo najipanga, hata huo uwezo wa kumtunza ningeweza kukomaa mno kumtunza but sitakuwa na personal development, sasa jana nikamwambia mbinu anazotumia kuniomba hela ni za kisanii, akamind kaniblock namba zote, ofcourse nampenda zaidi sana kwakuwa ananipenda, ila vizinga vyake sio vya nchi hii, sasa hivi naumia nikikumbuka nice moments we shared, ila nina unafuu kukwepa gharama zingezokuwa mbele yangu,, Ushauri wenu naomba, juu ya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo umemaliza mkopo bank. Ni muda sasa wa wewe kula na kunywa vizur, em shushia safari moja baridiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…