Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Nanauka Wizara yake ni ya tofauti sana na kiwizara cha Makonda.
Mawaziri kutokana na Wizara zao wana Rank.
Waziri wa Michezo hawezi akafanya kazi za Waziri wa UTUMISHI labda apewe hilo jukumu na kichaa.
 
Now mjikite kuchunguza mambo ambayo uongozi wa shule unayafanya, yanayoweza kuiumiza shule zaidi. Hii n propaganda ili wanafunzi wawe busy kujadili suala la mwalimu Paulo! Mtakuja kushitukia uongozi wa shule umeshapitisha sheria ya kuhesabu namba ni saa kumi na moja alfajili badala ya saa moja asubuhi. Wanachezaga kete kali sana wakiwa na jambo lao!
 
Alafu hii shule kuna majengo mawili yalijengwa na wamishionari yanadumu sana lakini majengo mapya ya mabilioni ya pesa yanachakaa kirahisi
 
Alafu hii shule kuna majengo mawili yalijengwa na wamishionari yanadumu sana lakini majengo mapya ya mabilioni ya pesa yanachakaa kirahisi
Haya majengo ya sasa hayana misingi imara , headmaster wa 2005 majengo yake yapo imara,Kila jengo Kuna mlinzi na linasafshwa Kila siku .majengo yake hayachakai Leo Wala kesho
 
Huyu huyu NGEME
 
Mkuu wa shule wa 2015 kifo chake kina utata hadi leo walimu wastaafu wengi wapo kimya wanaogopa
 
Haya majengo ya sasa hayana misingi imara , headmaster wa 2005 majengo yake yapo imara,Kila jengo Kuna mlinzi na linasafshwa Kila siku .majengo yake hayachakai Leo Wala kesho

Shule inahujumiwa sana. Wanafunzi wanaumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…