Katika masuala ya uchumi. Hauwezi kukuza uchumi kama hauzalishi mali au huduma hasahasa kwa soko la nje (export )ili nchi ipate fedha za kigeni na kuzalisha ajira. (Production of goods and services)
Huu uchuuzi wa kuagiza vitu Dubai,China uturuki, hausaidii kitu na haukuzi uchumi wala kuzalisha ajira. Maana ushindani ukiwa mkubwa nchi inageuka kama dampo la bidhaa feki 🤣🤣🤣🤣.
Halafu hii benki ya kilimo siielewagi kabisa. Kuna comment ya mtu nilisomaga humu jf kuwa alitaka apate mkopo aanzishe kiwanda kinachotumia mahindi na mazao mengine kutengeneza vyakula vya mifugo, anasema alizungushwa mpaka akakata tamaa. Inaonekana hii benki ni ya masharti magumu au ni benki ya connection tu. Inataka mambo ya ushirika 🤣. Inataka biashara kilimo ambayo ina muda mrefu inafanya kazi miaka 3 na zaidi na mahesabu na hati na makorokoro meeeeeengiiiii 🤣🤣🤣
Yaani hii,Benki siielewi, ipo kama haipo. Nasikia eti inakopesha vijana BBT 😂😂😂
Hii combination ya benki ya kilimo na BBT nina mashaka nayo. Kuna dalili za upigaji 🤣
Hizo exports za kimataifa tutaishia kusikia kaa majirani.
Ngoja tuendelee na, We Miso misondo, umepigaje hapooooo?