Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ukutane na msururu vikwazo mpk unaamua kuachaIshu ni Ujuzi, mtaji, connection ya hayo masoko na mifumo ya serikali ndio inakwamisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukutane na msururu vikwazo mpk unaamua kuachaIshu ni Ujuzi, mtaji, connection ya hayo masoko na mifumo ya serikali ndio inakwamisha
Wanaona fursa zaidi ila hata sisi tunaziona ila kupata vibali mpaka kufanya hicho ulichokiona ni balaaMzungu mwenyewe anakuja tz hana hata Mia,akiona fursa anapeleka kwao
Anarudi tz anaanza mchakato
Maana wenzetu wanaaminiana
Ova
Humu jf huwa nawaambiaga watu kuwa wakenya wamejipanga kuliko watu mnavyodhani. Serikali inashirikiana na sekta binafsi ili kutafuta fursa. Kuna video niliona ya hilo jengo wanalotumia kupack maparachichi kwa ubora wa kimataifa na mitambo waliyoweka humo, nilinyanyua mikono juu 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿.Kwenye kuzalisha nakuunga mkono kabisa.
Watu waliambiwa wazalishe maparachochi organic.....muulize lema mbunge mstaafu kilichojiri...
Serikali haisadii kumtafuta masoko....Kuna jamaa tu nae group moja huko....ilimbidi asafiri mwenyewe kwenda china kutafuta soko....maana kawekeza hekari za kutosha ....kaishia kuwauzia wakenya...
Alikua anatupa somo hapo kwamba imebidi aende kwanza china na ambalo hakumpata matokeo chanya maana nchi kama Kenya inabeba dhamana ya wakulima kuuza nje.
Mkuu acha tu tuchuuze china...
Halafu vinakuwa vikwazo vingiii, vya kipuuziiii, toukikaribia kumaliza, unakuta vinaibuka vingine vipya, tena vikubwa zaidi 🤣Ukutane na msururu vikwazo mpk unaamua kuacha
Acha tuu vijana wapo...wanasisitiziwa kilimo at the end hakuna soko..kumbe masoko yako mengi nje huko..dunia bado inahitaji chakula sema ndo hivyo...Humu jf huwa nawaambiaga watu kuwa wakenya wamejipanga kuliko watu mnavyodhani. Serikali inashirikiana na sekta binafsi ili kutafuta fursa. Kuna video niliona ya hilo jengo wanalotumia kupack maparachichi kwa ubora wa kimataifa na mitambo waliyoweka humo, nilinyanyua mikono juu 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿.
Hapa Tanzania maparachichi ni mengi mpaka yanamwagwa, hakuna soko
Hapa Tanzania, sijui ni akili ndogo, sijui ni wivu, sijui ni roho mbaya. Yaani kuna ujinga mwingi sana unafanyika.
Hiyo ishu ya parachichi ni rahisi. Soko china, Uarabuni, ulaya, Marekani lipo. Kwani serikali isikopeshe vijana wawe na hiyo international standard facility njombe au iringa, vijana wa sua tena wamesoma mpaka wameenda mpaka Israel ila hawana kazi, Kwani benki ya kilimo kazi yake ni nini?
Ni ujinga ujinga tu unatukwamisha.
Ni kweli kabisaNi rahis sana kufanya biashara kenye kuliko Tanzania...
Mfumo WA ni mrahisi sana kufanya biashara sisi kwetu milolonngo ni mingi sana...
Na mifumo mingi haipo transparent ndo sababu....
Yaani sio A+B
Yaani ni mlolongo....kama uamini jaribu ku import au ku export bidhaa za vyakula...
Haswa akwenye ku import Mimi Nina ushuhuda..
Icing sugar hapa bongo haizalishwi...kuingiza nchini ni 100% kodi.
Yaani unanunua Kenya 1000 unalipia kodi 1000
Kenya huu ujinga haupo japo WAna imports a lot from tz
Kabisa. Ni kama hawataki watu wafanikiweHalafu vinakuwa vikwazo vingiii, vya kipuuziiii, toukikaribia kumaliza, unakuta vinaibuka vingine vipya, tena vikubwa zaidi 🤣
Acha tuu vijana wapo...wanasisitiziwa kilimo at the end hakuna soko..kumbe masoko yako mengi nje huko..dunia bado inahitaji chakula sema ndo hivyo...
Ni roho mbaya tu 🤣Kabisa. Ni kama hawataki watu wafanikiwe
China Kuna soko la parachichi sanaa...Humu jf huwa nawaambiaga watu kuwa wakenya wamejipanga kuliko watu mnavyodhani. Serikali inashirikiana na sekta binafsi ili kutafuta fursa. Kuna video niliona ya hilo jengo wanalotumia kupack maparachichi kwa ubora wa kimataifa na mitambo waliyoweka humo, nilinyanyua mikono juu 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿.
Hapa Tanzania maparachichi ni mengi mpaka yanamwagwa, hakuna soko
Hapa Tanzania, sijui ni akili ndogo, sijui ni wivu, sijui ni roho mbaya. Yaani kuna ujinga mwingi sana unafanyika.
Hiyo ishu ya parachichi ni rahisi. Soko china, Uarabuni, ulaya, Marekani lipo. Kwani serikali isikopeshe vijana wawe na hiyo international standard facility njombe au iringa, vijana wa sua tena wamesoma mpaka wameenda mpaka Israel ila hawana kazi, Kwani benki ya kilimo kazi yake ni nini?
Ni ujinga ujinga tu unatukwamisha.
Tanzania bado hatuna shida, angalia jinsi tunavyoshabikia mpira wa simba na yanga. Angalia tunavyo jadili wasanii kila kukicha. Angalia Jinsi nchi yetu inavyoongozwa kishabiki yaani wananchi wanajigawa team fulani. Kenya wanajua nini maana ya shida na kupambana. Kama una biashara yako ukiajiri mkenya atapambana na kuiendeleza kila siku na takufundisha mbinu ya kutumia vizuri rasilimali zako. Wakenya wanapiga kazi vibaya sana aisee na wanajua kujituma. Sisi watanzania tukipata hela ya kubadilisha mboga na kustarehe na wanawake tunaridhika na kuweka miguu juu. Hata ukifuatilia wanasiasa walioiba hela serikalini, mafisadi wa kenya wamefungua biashara kubwa nchi mwao huku sisi mafisadi wetu wanaficha hela nje na kununua magari ya bei mbaya badala ya kutengeneza ajira.Inasemekana, kuna wakati Wakenya walikuwa wanakuja Tanzania, nafikiri Gairo, kununua viazi mviringo na kwenda kuvifsafisha, kuvigrade, na kuvifanyia packaging kisha kuvisafirisha kwenda sokoni Dubai.
Inasemekana, Wakenya hua wanavifuata vitunguu Tanzania, si kwa ajili ya kuviuza Kenya, bali nchi za nje hasa Dubai.
Inasemekana, hata Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite, kwa miaka ya nyuma, walikuwa wanapendelea zaidi kuuza madini yao Kenya kuliko nchini. Inaonekana kulikuwa na cha ziada walichokuwa wanakipata huko, vinginevyo, wasingejihatarisha kiasi hicho kutorosha madini mpaka Kenya.
Inasemekana, miaka ya nyuma , Kenya ilikuwa ikisafirisha Tanzanite nyingi zaidi kuliko Tanzania, nchi pekee duniani Tanzanite inakopatikana.
Inasemekana, miaka ya nyuma, Wakenya walikuwa wakifuata parachichi nchini Tanzania. Kipindi hicho, parachichi zilikuwa na bei nzuri, lakini walipoacha kufanya hivyo, wakulima wa Tanzania wakaambulia maumivu. Na hayo maparachichi, Wakenya walikuwa wakienda kuyasafirisha kwenda "ng'ambo".
Inavyoonekana, Wakenya wako vizuri zaidi kwenye biashara za "Kimataifa" kuwazidi Watanzania.
Wakenya ni "ndugu" zetu, kama wao wameweza, kwa nini sisi tushindwe?
Haitakuwa jambo jema endapo tutaamua kwenda kujifunza kwao?
Binafsi ninafikiria nimtafute Mkenya aliye vizuri kwenye hilo eneo ili nimfanye "mentor" wangu.
Tanzania tuna fursa nyingi sana. Tunachohitaji ni IDEA EXPLOSION!
Ile nchi ina uhaba wa vitu vingi. Nahisi ile hali ya ukosefu wa vitu vingi imewafanya wawe na akili na kujipanga vizuri. Sio kama sisi, nchi kubwa halafu iko tupu, ukimaliza kimara nchi iko tupu. Inakuwa kama kubwa jinga fulani hivi 🤣🤣China Kuna soko la parachichi sanaa...
Maana china wanaingiza na wenyewe Kwa speed ya kuzalisha organic products kama mafuta,,,sijui shampoo Wana export ulaya.....yaani vitu vya asili vya kupaka,urembo...soko ni kubwa lakini wewe kama mwananch WA kawaida kutoka njombe huwezi muuzia mchina ni ngumu...
Lazima kuweka na vitu hapo katika ambalo ndo serikali yetu iingie kati .
Kama hiyo mitambo na kadhalika na kadhalika....kumbuka kwamba parachichi ni perishable goods.....,wakenya wanaweza kwasababu serikali inatoka 50% ya mchango wao..
Kuwezesha wananchi...
Kama ushafika Kenya uanaona daladala zao nyingi zimeandikwa SACCO?
Vikundi vinajiunga serikali inawawezesha wanamiliki Hadi biashara ya usafirishaji kupitia mabank..nafikiri za watu binafsi ni chache.
Kwa kifupi serikali ya Kenya ni part and parcel ya kwanini wakenya wanaofanya vizuri kimataifa na hata ndani ya nchi...very organized country
Hata life style yaoIle nchi ina uhaba wa vitu vingi. Nahisi ile hali ya ukosefu wa vitu vingi imewafanya wawe na akili na kujipanga vizuri. Sio kama sisi, nchi kubwa halafu iko tupu, ukimaliza kimara nchi iko tupu. Inakuwa kama kubwa jinga fulani hivi 🤣🤣
Na kweli chek kuanzia namanga mpaka karibia Nairobi Kuna ka ukame flani hivi ka mda wote...Ile nchi ina uhaba wa vitu vingi. Nahisi ile hali ya ukosefu wa vitu vingi imewafanya wawe na akili na kujipanga vizuri. Sio kama sisi, nchi kubwa halafu iko tupu, ukimaliza kimara nchi iko tupu. Inakuwa kama kubwa jinga fulani hivi 🤣🤣
Parachichi ya Tanzania inauzwa moja kwa moja India
View: https://m.youtube.com/watch?v=Tze905NT8Vw
Kutoka terminal 3 uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport tani 20 za parachichi (kilo 20,000) za safirishwa na Air Tanzania . ....