Mchina ni bonge la bepari tenaWewe na wengine mnaojifananishaga na China huwa mna akili ndogo sana... unajua hadi China kafika hapo alifikaje? Sisi twende kwa njia zetu tunazoweza kwenda nazo ikiwemo hiyo ya lugha... tutakuwa wapumbavu kujimwambafy kuwa kiswahili kinatosha huku tumeshasaini mikataba kibao na mabeberu wenye lugha yao. Kwa tulipofikia hatuwezi kuwavimbia wazungu. Twende nao kijanja
Serikali inawasaidia, pia mabenki ya Kenya yanawasaidia sanasana hiyo Equity Bank inawakopesha wafanyabiashara wengi wa Kenya. Hiyo Equity Bank ina nguvu sana Kenya na Ceo wao James Njuguna Mwangi yuko vizuri.Serikali yao imewasimamia kuhusu upande wa ku export na hayo mambo mengine uliyosema
Sisi huku tuendele kufungua bar,watoto wakatike mauno misomisondo honey ndiyo ajira mpya
Ova
Mzungu mwenyewe anakuja tz hana hata Mia,akiona fursa anapeleka kwaoHaswa wazungu wako hivyo sana tu
Ila na mimi kuna wazungu huwa nawapa halafu nawaambia sharing is caring naona baadhi wanaelewa ila utaambiwa kwa mfano chakula kina nini ndani yake usije kupaliwa au hutumii
Sisi bado tuna utamaduni wa kiafrika nafikiri ni mzuri zaidi
Hii benki ya kilimo tz haina haina msaada wowote kwa wakulimaSerikali inawasaidia, pia mabenki ya Kenya yanawasaidia sanasana hiyo Equity Bank inawakopesha wafanyabiashara wengi wa Kenya. Hiyo Equity Bank ina nguvu sana Kenya na Ceo wao James Njuguna Mwangi yuko vizuri.
......
Sisi ngoja tuendelee kutafuna msambwanda kwa buku jero, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni rahis sana kufanya biashara kenye kuliko Tanzania...Sio inasemakana. Mpaka sasa hivi soko la mazao ya Tanzania liko Kenya. Pia hata soko lenye bei nzuri ya madini kuanzia Tanzanite mpaka dhahabu liko Kenya. Pia hata mafuta ya Alizet yananunuliwa kwa wingi na Kenya kisha kule yanafanyiwa pakeging na nembo za Kenya yanasafirishwa nje. Kwa ujumla Kenya wametuzidi ktk mambo mengi. Kikubwa hata elimu wametuzidi.
Watu muwe na kipato mje muwasumbue system [emoji1]Ni rahis sana kufanya biashara kenye kuliko Tanzania...
Mfumo WA ni mrahisi sana kufanya biashara sisi kwetu milolonngo ni mingi sana...
Na mifumo mingi haipo transparent ndo sababu....
Yaani sio A+B
Yaani ni mlolongo....kama uamini jaribu ku import au ku export bidhaa za vyakula...
Haswa akwenye ku import Mimi Nina ushuhuda..
Icing sugar hapa bongo haizalishwi...kuingiza nchini ni 100% kodi.
Yaani unanunua Kenya 1000 unalipia kodi 1000
Kenya huu ujinga haupo japo WAna imports a lot from tz
Namba mbili ku import ni kwikwi ndugu yangu Tanzania Ina kodi sana....ndo maana bidhaa za magendo ni nyingi...ukitumia njia halali unapigwa kodi mpaka unachanganyikiwa.Ili kuwafikia inabidi
1. Pesa iwepo angalau kuanzia USD laki mbili kwenda juu
2. Sheria za nchi zibadilishwe, zinakwamisha na kuua biashara ya kuexport kwa makodi makubwa
3. Utafutaji wa connection ya bidhaa kwenye masoko ya kimataifa
4. Ujuzi wa biashara za kuexport.
Uko sahihi aiseee...Watu muwe na kipato mje muwasumbue system [emoji1]
Ova
Nchi ngumu hii. πNamba mbili ku import ni kwikwi ndugu yangu Tanzania Ina kodi sana....ndo maana bidhaa za magendo ni nyingi...ukitumia njia halali unapigwa kodi mpaka unachanganyikiwa.
Nilifata icing sugar Kenya kuleta mpaka bongo ni hasara ....
Sasa hivi naletewa na watu....sijui wanajua wao....napata faida ....
Rombo hpo chocho si nyingi zipo [emoji1]Namba mbili ku import ni kwikwi ndugu yangu Tanzania Ina kodi sana....ndo maana bidhaa za magendo ni nyingi...ukitumia njia halali unapigwa kodi mpaka unachanganyikiwa.
Nilifata icing sugar Kenya kuleta mpaka bongo ni hasara ....
Sasa hivi naletewa na watu....sijui wanajua wao....napata faida ....
SIKU ZOTE NASEMA NCHI HIIUko sahihi aiseee...
Mpaka kule viwandani wanashangaa
January nataka nifate bidhaa nyingine nione makato ya kodi ..maana Kwa upande huo sioni faida
Aisee Kuna kodi ni kichomi
NakwambiaNchi ngumu hii. π
Ni sukari tu...ila hamna brand yoyote ya icing sugar sokoni so farRombo hpo chocho si nyingi zipo [emoji1]
Hivi tanzania hatuzalishi icing sugar
Ova
Katika masuala ya uchumi. Hauwezi kukuza uchumi kama hauzalishi mali au huduma hasahasa kwa soko la nje (export )ili nchi ipate fedha za kigeni na kuzalisha ajira. (Production of goods and services)Hii benki ya kilimo tz haina haina msaada wowote kwa wakulima
Angalia tu tz sahv frem zilivyojaa
Maana nchi hii ni ya kichuuzi
Ova
Hii nchi ni ngumu sana. Kuna maujingaujinga mengi sana yanafanyika ili watu wapate ulaji π€£π€£Nakwambia
Tena bei wanayonipa na nilivyofata Mimi ni mbingu na ardhi....
Nacheza na margin ya faida nitakavyo....
Lakin nilienda mwenyewe...nikafata mlolongo wote ....aiseee
Nilikula hasara
Alafu kingine kungekua na kibali kimoja hapa bongo
Kwa mfano ukiingiza sukari unatakiwa uende ukapate kibali huko bodi ya sukari Bado Cha wale wakaguzi Bado mlolongo WA forodha ili upate kitu kinaitwa sijui tax nini.....aisee.
Magendo hayataisha...nikielezea mpaka naingiza mzigo wangu WA kwanza kutoka hapo Kenya tu ....na 5yrs experience ya kuingiza mizigo china na uturuki...
Ni ngumu sana kufanya biashara Africa mashariki kuliko huko china na mataifa ya ulaya....
Haswa bidhaa za vyakula....SIKU ZOTE NASEMA NCHI HII
KUNA WATU PEKEE YAO NDIYO WANATAKA WAWE EXPORTERS
PEKEE YAO NA MFUMO UNAWALINDA
NASHANGAAGA SANA KUONA MTU AKIFUNGUA PUB ,BAR BASI ANAONA NDY UWEKEZAJIIII
ova
Kweli mkuu ndio wafanyabiashara wa kibongo hawana lingine, anafungua duka akipata faida mara kajenga, halafu gari baadae kanunua bus au lorry anaona aitwe Don la mjiniSIKU ZOTE NASEMA NCHI HII
KUNA WATU PEKEE YAO NDIYO WANATAKA WAWE EXPORTERS
PEKEE YAO NA MFUMO UNAWALINDA
NASHANGAAGA SANA KUONA MTU AKIFUNGUA PUB ,BAR BASI ANAONA NDY UWEKEZAJIIII
ova
Kwenye kuzalisha nakuunga mkono kabisa.Katika masuala ya uchumi. Hauwezi kukuza uchumi kama hauzalishi mali au huduma hasahasa kwa soko la nje (export )ili nchi ipate fedha za kigeni na kuzalisha ajira. (Production of goods and services)
Huu uchuuzi wa kuagiza vitu Dubai,China uturuki, hausaidii kitu na haukuzi uchumi wala kuzalisha ajira. Maana ushindani ukiwa mkubwa nchi inageuka kama dampo la bidhaa feki π€£π€£π€£π€£.
Halafu hii benki ya kilimo siielewagi kabisa. Kuna comment ya mtu nilisomaga humu jf kuwa alitaka apate mkopo aanzishe kiwanda kinachotumia mahindi na mazao mengine kutengeneza vyakula vya mifugo, anasema alizungushwa mpaka akakata tamaa. Inaonekana hii benki ni ya masharti magumu au ni benki ya connection tu. Inataka mambo ya ushirika π€£. Inataka biashara kilimo ambayo ina muda mrefu inafanya kazi miaka 3 na zaidi na mahesabu na hati na makorokoro meeeeeengiiiii π€£π€£π€£
Yaani hii,Benki siielewi, ipo kama haipo. Nasikia eti inakopesha vijana BBT πππ
Hii combination ya benki ya kilimo na BBT nina mashaka nayo. Kuna dalili za upigaji π€£
Hizo exports za kimataifa tutaishia kusikia kaa majirani.
Ngoja tuendelee na, We Miso misondo, umepigaje hapooooo?