Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Siku hizi dini zimekuwa kama biashara, zimegeuka kitega uchumi na ndio maana WACHUNGAJI wanashindwa kukemea vitu kama hivyo wakijua kwamba watawafukuza wateja wao wakikemea[emoji25]
 
Mkuu hiki kitu ni kweli? au ni zile zinazoitwa photoshop.....maana ni kama anaongea kinyume na kile anachosimamia, hebu tupe uhakika wa hii clip.
 
Ni kweli mwonekano wa nje ndio tafsiri ya kilichoko ndani, lakini hiii haimaanishi wanaoenda kanisani wote ni watakatifu bali kanisa ni karakana ya kuwaandaa wadhambi wamfahamu Yesu.
 
Mkuu hiki kitu ni kweli? au ni zile zinazoitwa photoshop.....maana ni kama anaongea kinyume na kile anachosimamia, hebu tupe uhakika wa hii clip.
Ni kweli kabisa mkuu.Hakuna sababu yeyote ya ku-photoshop kitu kama hicho,for what reason,personally siioni.Infact kama unajua kinacho endelea in the spiritual World,you will easily appreciate the truth of this clip.Mungu ameamua kuwatumia hao hao kufunua ukweli,ili watu wenye nia ya kweli ya kwenda Mbinguni wajiandae.Mungu amesema in the Bible,pando lisilo lake ataling'oa👇

Mt 15:13 "Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang’olewa."​

Sasa who he uses is His own choice.
 
Hata mimi nimesoma kitabu cha revelation hivi karibuni, kuna dots nilishaziunganisha mulemule anamoongea. Hivi vitabu vya Daniel na Ufunuo ni vigumu kuvielewa, lakini nimeshangaa namna nilivyokuwa nimeunganisha dots ni kama kapita humohumo. Ninachojiuliza, je, halazimiki kujiuzulu baada ya kuongea kinyume na imani au msimamo wa kanisa analoongoza ulivyo, maana ame question hata zile amri kumi zinazofundishwa na katekisimu ya kanisa na hata uhalali wa siku ya jumapili kuwa siku ya ibada. Na je, hiki alichoongea kinaweza ku circulate miongoni mwa wafuasi na kuleta mgawanyiko au kinaweza kuchukuliwa kama uzushi na kukanushwa na mamlaka za kanisa, ni nini mtazamo wako kwenye hili.....​
 
Mkuu lete picha 😂😂😂 Hapa Jirani yangu Kuna kanisa la Roma ibada ikiisha huwa anaitisha creti ya safari au Kilimanjaro then watakao wanamwagilia Moyo ...nikasema hii hapana
Kwahiyo baada ya kubarikiwa kanisani then wanaokuja kujipongeza mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…