Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Weka picha tuwaone, isije ikawa wanasingiziwa
 
Mimi ni muislam lakini nawapenda wakristo kwa kuwa pamoja na kwamba ukristo umekuja Africa kutokea ambapo sio Africa (japo upo ushahidi kanisa la kwanza lilianzia Ethiopia Africa) lakini kuna mambo wakristo wanafanya bila kutegemea aliowaletea kitabu tofauti na upande wetu ambapo kuanzia kuvaa, kuongea, kukaa, kuangalia, kuhema, kunusa, kupiga chafya na kujamba na kusinzia lazima iwe kama muarabu la sivyo wewe ni kafiri
 
Mkuu kila kitu kikiwa na picha tutakuwa kama Twitter now,maana Twitter ushenzi umezidi,mtu yupo na demu wake getto anamvizia na kumpiga picha

Sasa na huku tukianza hivyo tutafeli
Leta picha ndo uje na hizi hekaya
 
Mkuu wewe ni Mgalatia asilimia Mia mbili
 
Sasa picha haipo basi usitusumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…