Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

Kama Wanasimba tunajiamini tuna timu imara, kwa nini tunaombea tukutane na Al Ahly Tripoli, siyo TP Mazembe au Orlando Pirates?

Huuu! Hivi timu kutinga robo fainali shirikisho Afrika, na Kuchukua kombe NBC premier league, ni wapi kwenye pesa nyingi?
Sihitaji jibu.
 
Si tunajiamini kuwa Simba ni Timu Bora kabisa na tumepita CAFCC jana Aprili 4, 2022 kwa uwezo wetu na tuna jeuri ya kucheza na timu yoyote Afrika, sasa kwa nini karibia 99% ya Wanasimba wanaombea wakutane na Al Ahly Tripoli ya nchini Libya na kamwe siyo TP Mazembe ya Congo DR au Orlando Pirates ya South Africa?

Tukisema ukweli kuwa kwa kiwango cha Simba SC kwa sasa na kwa aina ya wachezaji tulionao pamoja na uwekezaji wetu mchanga kwa hizi timu tatu ambazo moja wapo tutacheza nao Simba SC 'hatutotoboa' kwenda Nusu Fainali ya Shirikisho mnanitukana na mnatutukana tuliowazidi upeo, maono na jicho kali la uchambuzi wa michezo ( hasa Mpira wa Miguu wa Tanzania) na masuala mengine.

Ninasisitiza hapo ndiyo mwisho Wetu!
Duniani kote, kila timu huwa na mtazamo wake asipende kukutana na nani katika hatua kama hizo za kupanga.

Unashangaza unapoona kama ni jambo la ajabu.
 
Sijawahi kukuchukuia mkuu ingawa kwenye lugha dah,unakiwasha sn..naamini nje ya mtandao ni mtu mmoja mstaarabu sn
Na nina uhakika Siku ukija Kuonyeshwa yule ndiyo GENTAMYCINE hutoamini na utakataa kwa jjnsi nilivyo Mtu Mstaarabu kama walivyo Watu wa Kabila la Wazanaki.

Halafu ni Mtu Mmoja wa Maisha ya Kawaida mno tena ambaye nikiitwa Masikini nitashukuru kwani ndiyo Uhalisia wangu huo wa Kimaisha na Nadhani kukitokea Mashindano ya Kumtafuta Masikini ( Fukara ) bora hapa JamiiForums kwa Maisha niliyonayo nikigombea nitaitwaa hiyo Tuzo na inanistahili sana.

Kuna Watu nikisema hivi hawaniamini.
 
Na nina uhakika Siku ukija Kuonyeshwa yule ndiyo GENTAMYCINE hutoamini na utakataa kwa jjnsi nilivyo Mtu Mstaarabu kama walivyo Watu wa Kabila la Wazanaki.

Halafu ni Mtu Mmoja wa Maisha ya Kawaida mno tena
Ila nasikia eti wanasema wewe ni masikini unayeshinda na masikini wenzio pale rose garden mikocheni🤔
ambaye nikiitwa Masikini nitashukuru kwani ndiyo Uhalisia wangu huo wa Kimaisha na Nadhani kukitokea Mashindano ya Kumtafuta Masikini ( Fukara ) bora hapa JamiiForums kwa Maisha niliyonayo nikigombea nitaitwaa hiyo Tuzo na inanistahili sana.
Mimi naamini😅
Kuna Watu nikisema hivi hawaniamini.
 
Ila nasikia eti wanasema wewe ni masikini unayeshinda na masikini wenzio pale rose garden mikocheni🤔

Mimi naamini😅
Tafadhalini acheni Kunihusisha na hili mara kwa mara nimeshalisema hapa JamiiForums kuwa Mimi siyo TISS Agent kama wengi wenu mnavyonidhania au Kunihisi, sina Hadhi ya kuwa miongoni mwao hata tu kwa Vigezo na kama kweli ningekuwa recruited nao huko hakika ningewadharau vilivyo kwani hata sistahili kuwa miongoni mwao na ningewaharibia tu Kazi.
 
Kwani Kaka,tiss ndiyo nn😀
 
Back
Top Bottom