"Yote" ni mkono?Tatizo muoga sana kaka,jibu swali. Ukiwa unakula huwa unatumia mkono gani ? Kama unatumia yote wewe jibu. Ila si unajua hata Birika pia lina mkono ila sio kama mkono wako ? Tafakari kidogo juu ya kauli yangu utahisi au utaona ishara japo kwa mbali kwanini nimekuuliza swali hili dogo.
Nataka nikufundishe jinsi ya kufikiri vile unavyooaswa ufikiri.
Thibitisha Mola yupo kabla ya yote.
Kama huwezi kuthibitisha Mola yupo, na Mola ndiye kaumba mpaka malaika, basi hujakanusha kwamba malaika ni hadithi tu na hawapo.
Hujathibitisha Mola yupo.Mwerevu ishara zina mtosha.
"Yote" ni mkono?
Unajua wingi na umoja wa mkono katika Kiswahili?
Ushakurupuka kuniuliza nakula kwa mkono gani kama vile ni lazima kila mtu kula kwa mkono fulani.Najua kukiko unavyofikiria wewe. Kaka tatizo hujanijua aisee,huwa sikurupuki japo sijakingwa na makosa.
Nikisema huwa hufikiri kinachoandikwa kaka,huwa namaanisha. Wewe si huwa unajifaragua na elimu ya mantiki (logic) sasa hujaelewa nini ?
Hivi nikisema naenda kuoga ? Wewe unajua naenda kuoga kwa kutumia kimiminika gani ? Sharubati au mkojo ? Je nikitumia Sharubati kuogea nita ambiwa kwamba nimeoga ?
Kaka kwa kawaida mtu huweI kula kwa mikono miwili kwa wakati mmoja kwa chakula hicho hicho ukifanya hivyo utaonekana hauko sawa.
Kwahiyo umoja utabaki kimaana na kimatamko wakati humo humo uwili ukiwepo.
Hujathibitisha Mola yupo.
Huwezi kuthibitisha.
Kwa sababu hayupo.
Ninajibizana na wewe. Si na mtoa mada.Hivi unakumbuka mtoa mada anazungumzia nini ?
Ushakurupuka kuniuliza nakula kwa mkono gani kama vile ni lazima kila mtu kula kwa mkono fulani.
Thibitisha Mungu yupo.Sikukurupuka mzee,ungejibu ungeona ningekuoa maelezo gani kukingana na munasaba wa kauli yako kuhusu malaika
Tatizo muoga sana..!
Hujathibitisha Mola yupo.
Huwezi kuthibitisha.
Kwa sababu hayupo.
Kama kweli mimi ni mjinga, huo ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.Kuna mwanachuoni fulani alisema hivi " Nina weza kujadiliana na wasomi mia moja nikawashinda kwa hoja ila siwezi kujadiliana na mjinga mmoja nikamshinda"
Tafakari,kaka tatizo watu kama nyinyi huwa mnafikiria uoande mmoja tu maisha yenu yote.
Thibitisha Mungu yupo.
Unauliza maswali yanayoonesha ufinyu wa mawazo nanumasikini ya elimu ya utamaduni.
Mimi nakaa Marekani. Burgers tunakula kwa mikono miwili.
Na siku yoyote naweza juamua kula Kimarekani, ki Ulaya, Kichina.
Unaniuliza nakula kwa kutumia mkono gani.
Ufinyu wa mawazo na umasikini wa elimu ya tamaduni mbalimbali.
Hujathibitisha Mungu yupo.Kaka hujui kula wala hujui maana ya kula mzee. Nilikutega naona ukajaa,hakuna binadamu anae weza kula kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Kula si kuingiza chakula tu mdomoni. Kula ni kitendo kinacho anzia karika kuchukua chakula mpaka kukitia mdomoni mzee.
Waswahili wana msemo wao mmoja unasemwa hivi "Asie jua maana haambiwi maana". Ila mimi nina sema hivi asie jua maana ni wajibu kuambiwa maana.
Kama kweli mimi ni mjinga, huo ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao kiumbe wake anaweza kuwa mjinga.
Thibitisha Mungu yupo.Hili nilishawahi kukueleza kitambo sana. Sirudii tena.
Hujathibitisha Mungu yupo. Weka link hapa wapi umethibitisha tuchambue kama unasema umethibitisha.Hii kazi nilishainaliza zamani.
Kama kweli mimi ni mjinga, huo ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao kiumbe wake anaweza kuwa mjinga.
Hujathibitisha Mungu yupo. Weka link hapa wapi umethibitisha tuchambue kama unasema umethibitisha.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Unahubiri tu.