Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Ni maswali ya kweli kabisa. Kwa sababu anauliza swali ambalo nishalijibu, tena katika majibizano yetu haya ya saa hizi.

Sasa anauliza kwa sababu ni mjinga sana hajaelewa nishamjibu? Au msahaulifu sana mara hii kasahau? Au anakumbuka na kaelewa ila anajifaragua tu?
 

kumwambia tu page no flani au post no flani ingetosha sana.. Muendelee tunawasoma Bado
 
kumwambia tu page no flani au post no flani ingetosha sana.. Muendelee tunawasoma Bado
Hapana. Unaweza kumwambia ukichukulia hajaona. Kumbe kaona anajifaragua tu.

Ndiyo maana sijasema "wewe mjinga" tu.

Nimeuliza.

Mjinga sana hujaelewa?

Msahaulifu sana ushasahau?

Au umesoma na kuelewa ila unajifaragua tu?

Huyu inayumkinika kujifaragua.

Nimemuuliza athibitishe Mungu yupo mpaka sasa anajifaragua.
 
Kwanini nikujibubswali moja zaidi ya mara moja?

Wewe una kumbukumbu fupi hivyo umesahau?

Ni mjinga sana huelewi?

Au unajifaragua tu?


Kaka mimi huwa najitahidi sana kumfanyia uadilifu kila mtu mpaka adui yangu,namaanisha siwezi kukudhulumu hata kwa maandishi haya. Ungekuwa umenijibu maswali yangu ningekwambia umenijibu lakini umejibu wali moja tu kuhusu kupatwa wa mwezi na nilikwambia kwamba umejibu swali hilo.


Bado una deni mzee...!!
 


Jifunze kuweka kila kitu mahala pake bro !
 
Ungekuwa muadilifu ungejibu swali langu la kuthibitisha Mungu yupo.

Hata kusema huwezi kuthibitisha ni jibu.

Hata kusema hujui jibu ni jibu.

Lakini wewe ni mnafiki.

Unasema umejibu.

Nakuomba unipe link utuoneshe ulipojibu.

Tunaambiwa kuna watu wanatufuatilia hapa.

Ukiweka link hata wao utawafaidisha.

Weka link ulipothibitisha Mungu yupo.

Hapo utakuwa muadilifu.

Vingine unajivika kilemba cha ukoka tu.
 
Last edited:
Jifunze kuweka kila kitu mahala pake bro !
Ungejua kuweka kila kitu mahala pake, ungetuwekea link ya post ulipothibitisha Mungu yupo hapa.

Hujaweka.

Wewe mnafiki.

Unaniambia nifanye ambayo wewe hufanyi.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Last edited:
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au longolongo za kila siku tu zinaendelea?
 
Mlee vema na kumuombea ili Mungu amtunze na kuzidi kumpa moyo huo halisi wa Mungu mwenyewe
Sawa kabisa,nami nafanya hivyo ila sifa na utukufu namrudishia yeye bwana wa mabwana maana nauona mkono wa bwana kupitia mtoto huyu.OOOO PRAISE THE LORD!!!
 
Kaka kwako wewe naona kitu kimoja kati ya vitatu au zaidi.

1. Una matatizo ya akili

2. Mjinga sanaaaaa !

3. Umekariri mawazo ya watu bila kumakinika kwayo.
pole pole zurri utaua mtu
 


Wengi wanaiga hizo tabia toka kwa Mama na house girls wao.
 
Kuna mtu kathibitisha Mungu yupo?

Au longolongo za kila siku tu zinaendelea?
Mkuu Kiranga,nakuuliza swali hivi ukienda msituni ukaona nyumba imejengwa vizuri sana ina mfumo wa maji mzuri,mfumo wa umeme mzuri,kuna cctv camera na kuna mfumo wa choo mzuri tu halafu ukaambiwa hii nyumba haikujengwa ila imetokea tu,utakubali au utakataa?.ukijibu vyema tutaendelea
 
Hujanijua vizuri bado.

Sio tu siamini, sitaki kuamini, nataka kujua.

Tafadhali usinishushe ngazi na kunipeleka kituo kisicho changu.
Kiranga unatakaga umuone Mungu wakati Akili zenyewe huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…