Duuh kwani urefu unaanzia ngapi?Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana.
Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo labda anahela.
Ila ni kweli ukiwa una hela hadi emolo anaonekana tall and handsome😆😆😆aiseeeeeSio hasira mjukuu. Ni ukweli mchungu...
"Ukiwa mrefu una demu mmoja jitafakari"View attachment 2230473
Na anachukua pisi kali kabisa.... tena zinamgombeaIla ni kweli ukiwa una hela hadi emolo anaonekana tall and handsome😆😆😆aiseeeee
Mkuu mke wa mtu ni sumu,yaani ukikamatwa wanaku.....Aisee leo umenifungua ufahami kidogo mie ni mrefu ila demu wangu ni mfupi ndio niwapendao ila cha ajabu kwanza marafiki karibia wote wa demu wangu wanajilengesha wanipe mbususu lakini hata kitaa hakuna demu amewahi kunitakaa tena wake za watu ndio naburuza kweli kweli
Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana.
Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo labda anahela.
Mkuu Mimi ni mrefu Tena sana,kiasi kwamba nikiwa kwenye sehemu zinazojumuisha watu wengiIla wanaume warefu wana mvuto bhana
Ukute yule mrefu asiye na kitambi kanyooka fulani hivi [emoji2296][emoji2296]
Unahitaji kuwa na moyo mgumu kukataa kiumbe cha namna hii aseee
"Ukiwa mrefu una demu mmoja jitafakari"View attachment 2230473
Asante kwa ushauri ila wanakuja wenyeweMkuu mke wa mtu ni sumu,yaani ukikamatwa wanaku.....
Huku ukirekodiwa vizuri Kisha picha wanakaa nazo,utakuwa unatozwa pesa kila wakijisikia,
Utateswa kisaikolojia,Dunia itakuwa si salama kwako,utaombwa mzigo na mamende Kama demu,hutokataa
Ukatae vipi sasa,ili wasambaze picha zako? Machizi wakiwa na njaa ya kilo moja wanakufuata kwa kigezo Cha picha.
Yaani ukikamatwa na mke wa mtu kwenye huu ulimwengu wa digital/technology Nani akupige au akuue.
Hakuna
Utakufa mwenyewe.
Wewe NI ngongoti au tunaita Oscar makoye, yaani NI abnormalMkuu Mimi ni mrefu Tena sana,kiasi kwamba nikiwa kwenye sehemu zinazojumuisha watu wengi
Misiba,sherehe n.k naonaga noma najikuta Kama naonekana Mimi tu
Hebu kesho ijumaa,tafuta location Kama upo dar, Kisha ni PM
Kizaa gumzo gumzo kwa mabronzo ,machizi,masista duu,walimu na wanafunzi NI KAZEZE NI KAZEZE."Ukiwa mrefu una demu mmoja jitafakari"View attachment 2230473
Hawa ndio mnawapaga mbususu bure au unasemaje KelseaIla wanaume warefu wana mvuto bhana
Ukute yule mrefu asiye na kitambi kanyooka fulani hivi 🙆♀️🙆♀️
Unahitaji kuwa na moyo mgumu kukataa kiumbe cha namna hii aseee
Inaelekea wewe ni mrefu kwenda chini a.k.a Mr. Liquid🤣🤣Hahaha kuna kaukweli...ila demu ujiandae maana wanakuwa na de libolo refuu