Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

Kuigiza ndio mkakati

nna jamaa angu anamwambia mpenz wake hawez kuishi bila ya yeye wakati najua ana cheat na kashatia mimba huko side chick

Nikawa natoa macho wtf is wrong with people...no doubt na yule mwanamke ana cheat pia
Tusiojua kuigiza tuko pembeni na pop corn tunausoma mchezo
 
Nipe uzoefu rafiki [emoji1787][emoji1787]
Kuna huyo mtu yupo na kama 182cm ila humo ndani ni hamna kitu yaan hamna kitu. Nilikoma kufananisha urefu wa mtu na kubarikiwa huko ndani wengine ni hamna kitu kabisa kabisa.

Ni huzuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine hatuna bahati, mada zilivyolenga pesa..mwanaume wallet..mlitutenga manake pesa hatuna. Leo mmetaja urefu, bado sisi ni mbilikimo, kinachofuata ni nini wakuu? Mbona mnatutenga kiasi hiki.
Subiri uzi wa Wanawake wanaowapenda Wanaume wafupi.
 
acha usengetema dogo ufupi wetu unakuhusu nini, sina hela ila pisi kama zote zinakuja zenyewe.
 
Kuna huyo mtu yupo na kama 182cm ila humo ndani ni hamna kitu yaan hamna kitu. Nilikoma kufananisha urefu wa mtu na kubarikiwa huko ndani wengine ni hamna kitu kabisa kabisa.

Ni huzuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kidole kidogo cha mkono rafiki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikohoa tunaanza upya rafiki? Kinamezeka chote mdomoni wakati wa kuoaza sauti rafiki?[emoji1787]
 
Kwahiyo sio hela tena?

Hivi ukiwa mrefu unakubaliwa na kila mwanamke?
 
Nimemaliza kusoma comments za wanaume ma tall wa jf.. naendelea kusoma comments
 
Kuigiza ndio mkakati

nna jamaa angu anamwambia mpenz wake hawez kuishi bila ya yeye wakati najua ana cheat na kashatia mimba huko side chick

Nikawa natoa macho wtf is wrong with people...no doubt na yule mwanamke ana cheat pia
Mie nashangaa sana walimwengu si tukubaliane tuu kuwa open relationship wote tuu...yaani wee kugegeda mke wangu sawa tuu mie kugegeda mke wako fresh tuu....naon itaondoa vidonda vya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…