Dawlia
Senior Member
- May 20, 2022
- 166
- 344
Tusiojua kuigiza tuko pembeni na pop corn tunausoma mchezoKuigiza ndio mkakati
nna jamaa angu anamwambia mpenz wake hawez kuishi bila ya yeye wakati najua ana cheat na kashatia mimba huko side chick
Nikawa natoa macho wtf is wrong with people...no doubt na yule mwanamke ana cheat pia