Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Huyo ndio mwanaume halisi sasa, ila wewe ulitaka kumuondoa kwenye uhalisia wa kiume na kumpeleka kwenye haya makundi mengine yasioeleweka.
 
Napoishi apartment kwangu nimezungukwa na pizza Hut na kfc na solaria so nakuwa sina budi tu kujipikia mchele wangu kwenye rice cooker chap na kuku wangu supu au samaki chap kwenye fry pan mixer maviungo yote dakika 10 tu kitu tayari
Kulinda uanaume wako wa kimamlaka, ni bora utafute mdada awe anakuja kukupikia unamlipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…