Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
Sio kwa spana hiziii☺️
 
Kuna wengine tunakaa mbali na familia ,yaani trip Pori ,Trip Town ,sasa huko porini unataka tule kwa mama lishe ambavyo vyakula havina ladha ,makwasukwasu? Maji ya kusuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka jioni hayabadilishwi ndiyo tutumie hivyo vyombo?
 
We kolo kweli yaani nyie ndo mafara kabisa.Nimefungua uzi natafuta sababu zenye mashiko kwanini mwanaume asipike sijaziona.Gademit!!!

Skia wewe kiazi mbatata, mimi kuliko kwenda kula kwenye mabanda machafu machafu na wapishi wasio na standards. Ntapika mpaka mwisho wa dunia.

Mimi siwezi kula vitu ambavyo havijaandaliwa katika standars ninazotaka.

Jifunze kupika uone raha yake.Hakuna mwanamke atakuletea nyodo😄😄😄

Wenzako na sokoni tunaenda tunahemea mpaka wanawake wenyewe wanashangaa.

Kuna demu nilikuwa nampa hela akahemee kila akija anakuja na vitu pungufu havieleweki,namuuliza hela yote ile mbona sioni vitu ulivyonunua.Stori kibao nikaona huyu bwege mtozeni ananiona kiande wakati mimi baharia tangu chuo mimi ndo mpishi magetoni utaniambia nini nimeanza kupikia wadogo zangu longtime mshamba mmoja wewe.Nikamwambia sokoni mimi mwenyewe napajua nakununulia mpaka binzari ***** kaa kwa kutulia nikufundishe kazi.Mpaka kesho respect🫡 anajua standards zangu.

Katika skills hutakiwi kuikosa kama mwanaume ni kujua kupika.

📌Wewe endelea kula takataka za sokoni huko kwa mamantilie wakati vitu fresh vipo bei chee.
bado hujakua
 
Kuna wengine tunakaa mbali na familia ,yaani trip Pori ,Trip Town ,sasa huko porini unataka tule kwa mama lishe ambavyo vyakula havina ladha ,makwasukwasu? Maji ya kusuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka jioni hayabadilishwi ndiyo tutumie hivyo vyombo?
Unatafuta wa kusafiri naye
 
Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
😀😀😀 Huu ni ukweli mchungu
 
Noma hiyo magonjwa mengi ,hawa vichenchede vimeo UTI/PID/Fangas/Ngoma/Hepatitis B kwa sana.
Ukifikiria hayo hutokula mema ya dunia
leo3.jpg
 
Back
Top Bottom