The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Ndo nimemaliza kupika hapa, Ugali + Nyama + Tembele.
Labda mseme lingine
Labda mseme lingine
Mbona familia na jamii ya Tanzania kwa ujumla haina ustawi bora??Mimi sio muumini wa usawa wa kijinsia, naamini patriarchy ndio msingi wa ustawi bora wa familia na jamii kwa ujumla
Unataka ufe kwa kucheka maana hamkawii kusema futa linaelea au nyanya hazijaiva vizuri 😁😁😁Uko sahihi, Kupika ni basic skill/survival skill kila mtu anapaswa kujua.
Hebu tuone chakula ulichopika cha kula mwenyewe basi 😅😭
Kinainai 6700 na kiatu 12000😅😹😹😹 Niulizie hiyo pochi bei gani nimeipenda min.. Sio mbaya ukiuliza na kiatu pia..!!
We fara nini kwa hiyo unataka tutembee na wake zetu Kila mahalaKama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Huku Kaliua nilipo hakuna delivery ya maharage na mchicha uliopikwa halafu mke wangu amesafiri na marafiki zake kwenda Zanzibar vacation.Acha kukulupuka kijana ugali umetolewa mfano tu, na suala la kununua msosi siku hizi kuna delivery sio lazima utoke kwenda mwenyewe kama zamani. Wewe kaa kwenye kibao cha mbuzi kuna nazi zako uunge mboga. Chakula kikiiva mwite mkeo aje kula. Sisi wengine malezi tuliyopewa jikoni sio sehemu ya mwanaume kuonekana
Sema sababu ya heshima tu wengine humu tunawaheshimu kuwajibu vibaya ni km tunawavua nguo inabidi tuwajibu vizuri km ulivyofanya mkuu ingawa umesahau kumwambia aongezee na chumvi baada ya kuweka mafuta na maji asijaze sana asije akatoa boko asipike moto wa gesi atachoma vibaya sana apunguze moto kabla ya kupalilia kitu matanduUkichukua mchele,maji na mafuta ukavichanganya pamoja kwenye sufuria juu ya jiko ukabadilika na kuwa wali,Nini kinabadilisha uanaume wako?
Kitimoto..mayai na mazaga yalinifanya nipate vipochi Gheto😀😀😀we njoo upike tuNapoishi apartment kwangu nimezungukwa na pizza Hut na kfc na solaria so nakuwa sina budi tu kujipikia mchele wangu kwenye rice cooker chap na kuku wangu supu au samaki chap kwenye fry pan mixer maviungo yote dakika 10 tu kitu tayari
Wazee wetu vijijini wanaishije?Dogo endelea kusali kwa mola wako mipango iendelee kujiset, hata yakikukuta uwe na uwezo wa kununua mgahawani kama sio kwa mama ntilie
Hiyo kupika, ndio tatizo lilipoUnaweza ukawa baba mwenye nyumba na bado ukapika sa sjui point yako ni nini
Kupika au kupikiwa sio sababu ya heshima ya mtu kushuka ama kupanda
Wapi tenaUnakoelekea utaokotewa mawe 😹😹
Kaa usipike ufe njaa ukajisifie kwa shetani ulikuwa na falsafa zako unazoziita za 'kiume' ndo zikakuuaKama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Mada imejitoshelezaNdo nimemaliza kupika hapa, Ugali + Nyama + Tembele.
Labda mseme lingine
Kwani wanaopika ni wake tu?We fara nini kwa hiyo unataka tutembee na wake zetu Kila mahala
Kwa hiyo unataka nikale kwa mama ntilie.Kwani wanaopika ni wake tu?
Mada inasemaje?Kwa hiyo unataka nikale kwa mama ntilie.
We bado mtoto sana haujakumbana na changamoto ni bora nile chakula nilichopika mimi kitakua na usalama 100% kuliko cha kutengewaMada inasemaje?
Bora umeshtuka! 😅Unataka ufe kwa kucheka maana hamkawii kusema futa linaelea au nyanya hazijaiva vizuri 😁😁😁
Mawazo finyu sasa kama awo wote apo awapo kwa wakati uho inakuajeKama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.