Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Sema nini mkuu,uzee unakusumbua sana 😁

Nitaendelea kupika mpaka pale nitaoa
Nishindwe kupika pasta with vegetables.
Mh nyam! Nyam!

Mh sweet potatoes asubuhi na maziwa fresh,mixer honey,

Jioni narudi Nachukua samaki mmoja mbichi,katia vitunguu vingi ndizi na vegetables za kutosha.

Play music on my hi-fi sound system with surrounding sound,uku nikienjoy msosi wangu niliondaa mimi mwenyewe.

😅😅
 
Utazeeka vibaya wewe
dz.jpg
 
Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
Kila mtu abakie na mtazamo wake ila km hujui kupika unategemea kupikiwa siku yakikufika ndio utaelewa kwanini walisema "mtegemea cha ndugu hufa akiwa na njaa"
 
Hii mupyaa kwangu ngoja kikulambe uone ndio utajua ulikuwa unapigani nin oyaa mi kwangu nikitoka job njaa inauma wife anachelewa leta jiko toa dongo weka pale watoto na mama yao wanafurahia upendo unaongezeka na watoto wanajifunza kwamba maisha sio kumtegemea mtu badilika kutojana na mazingira ukizeeka utapata shida mapenz, ajira na pesa vinamuda
 
Mwanaume anapika pale inapolazimu na hakuna mwanamke ndani ya nyumba, tena inategemea na chakula. Mfano unapika ugali mboga unanunua hapo sawa.

Sasa dume zima kukaa kwenye kibao cha mbuzi kukuna nazi ya kuungia mboga au kupika chapati hapo lazima tuwe na mashaka kama kuna uzima ndani ya zipu.
Sio kila mtu au kila mwanaume anakula ugali.

Pia ni ujinga na uswahili unapika ugali halafu jitu zima na ndevu zako unatembea na vibobo vya mboga barabarani eti umetoka kununua maharage ya nazi kwa mwanahamisi.
 
Mwanaume anapika pale inapolazimu na hakuna mwanamke ndani ya nyumba, tena inategemea na chakula. Mfano unapika ugali mboga unanunua hapo sawa.

Sasa dume zima kukaa kwenye kibao cha mbuzi kukuna nazi ya kuungia mboga au kupika chapati hapo lazima tuwe na mashaka kama kuna uzima ndani ya zipu.
Hahaha. Kwamba unakua unaweza kupiga ugali Ila mboga huwezi mkuu? Katakata tu hizo nyanya pia. Chakula hakijuagi jinsia ya anayekipika.
 
Back
Top Bottom