Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #41
Ataanza kujitikisaKwamba mwanaume akipika kende zinapotea
aisee kazi sana
Ataanza kujitikisaKwamba mwanaume akipika kende zinapotea
aisee kazi sana
mindset za kipuuzi hiziAtaanza kujitikisa
Mkuu niko jakartaSasa hivi lindi nachingwea kuna apartments zilizozungukwa na pizza hut,kfc na solaria!
Ni sahihi ila niko nje shule so sio rahisi kutafuta mtu wa kujipikia though huwa nanunua pia mara kadhaa kwenye restaurants zile localKulinda uanaume wako wa kimamlaka, ni bora utafute mdada awe anakuja kukupikia unamlipa.
Ndivyo inavyotakiwa kula magengeni n.k kama bado kuoa na sio kujipikilisha ili kulinda uanaume wako halisi.Umejuaje,Hata sahani tu sina geto mzee.
Wanaume halisi tumebaki wachache sanamindset za kipuuzi hizi
Nyie ndio wale mwanaume avae chupi sijui boxers wiki nzima alooo😂😂
Kama uanaume wenu una pimwa kwa kutopika basi kazi ipoWanaume halisi tumebaki wachache sana
Oa kwanza kisha mke awe mzazi halafu ulete uzi kama huu.Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Wasukuma kwenye ubora wetu!!! Ndogo tabu
Hitler alikuwa anajipikilisha?Kama uanaume wenu una pimwa kwa kutopika basi kazi ipo
Nafurahi kuona kumbe wanawake wenye akili bado wapo duniani! na wanapatikana, hata humu jf kumbe wapo!.Ukichukua mchele,maji na mafuta ukavichanganya pamoja kwenye sufuria juu ya jiko ukabadilika na kuwa wali,Nini kinabadilisha uanaume wako?
Mpaka ifikie hatua hiyo utakuwa umejipanga, wasaidizi watakuwepo, mfano ndugu, marafiki n.k wanaweza kukusaidia kwenye hilo kama wewe utakuwa mwanaume halisi.Oa kwanza kisha mke awe mzazi halafu ulete uzi kama huu.
😂Kwahiyo baada ya kukua umeanza kupangia watu maisha? Hebu ishi maisha yako acha kusumbua watu
Mpaka mwanaume anapata muda wa kufanya hayo basi kuna sehemu haipo sawa kwenye maisha yake.Ukichukua mchele,maji na mafuta ukavichanganya pamoja kwenye sufuria juu ya jiko ukabadilika na kuwa wali,Nini kinabadilisha uanaume wako?
Mwanaume anapika pale inapolazimu na hakuna mwanamke ndani ya nyumba, tena inategemea na chakula. Mfano unapika ugali mboga unanunua hapo sawa.Kama uanaume wenu una pimwa kwa kutopika basi kazi ipo
Mwanaume anapika pale inapolazimu na hakuna mwanamke ndani ya nyumba, tena inategemea na chakula. Mfano unapika ugali mboga unanunua hapo sawa.
Sasa dume zima kukaa kwenye kibao cha mbuzi kukuna nazi ya kuungia mboga au kupika chapati hapo lazima tuwe na mashaka kama kuna uzima ndani ya zipu.