Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
Kifupi unasema waoe Hawa gen Zi , kataa NDOA.

KISA Mali AMBAYO ukifa unaicha kwa familia
 
Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
Endelea kugeukageuka hapo kwenye makochi kwa shemeji ukisubiri usiku usikilizie miguno ya sister wako!
 
Napoishi apartment kwangu nimezungukwa na pizza Hut na kfc na solaria so nakuwa sina budi tu kujipikia mchele wangu kwenye rice cooker chap na kuku wangu supu au samaki chap kwenye fry pan mixer maviungo yote dakika 10 tu kitu tayari
Sasa hivi lindi nachingwea kuna apartments zilizozungukwa na pizza hut,kfc na solaria!
 
Acha ukiliza na ujuha,
Wamasai wanaume wanachoma nyama kwa mamia ya miaka na ukiwapa mke wako wanamshughulikia vilivyo mpaka anakusahau.
Ukitaka ujue hawana kitu, waambie waende kujitolea pale Gaza. Ila Mwanaume halisi hatakiwi kujipikilisha ili kulinda uanaume wake wa kimamlaka.
 
Back
Top Bottom