Kama wewe ni mwanaume na unajipikilisha, juwa bado hujakua

Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
Sio kwa spana hiziii☺️
 
Kuna wengine tunakaa mbali na familia ,yaani trip Pori ,Trip Town ,sasa huko porini unataka tule kwa mama lishe ambavyo vyakula havina ladha ,makwasukwasu? Maji ya kusuzia vyombo kuanzia asubuhi mpaka jioni hayabadilishwi ndiyo tutumie hivyo vyombo?
 
bado hujakua
 
Unatafuta wa kusafiri naye
 
Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.

Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.​
😀😀😀 Huu ni ukweli mchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…