Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Kama hujatajirika maana yake huna akili dada/kaka, bahati hata ikitokea kama huna akili unaitumiaje/unaijuaje? Kujua tu fursa ni akili, tusijitoe ufahamukweli kabisa, kuna vigezo vingi kwahiyo unaweza ukawa na akili na usitajirike
na bahati ina mchango mkubwa sana, huwa naandika humu
sema sasa watu wengi hawaelewi maana ya bahati
bahati ni zile nafasi unazopata bila juhudi/ujuzi wako binafsi
Hapa inaongelewa mafanikio au utajiri? Mafanikio kila ntu ana tafsiri yake, wengine wanaweza kusema kuoa tu ni mafanikio, wkt kwa mwingine kuokoka au kufaulu test mojaNashukuru kwa maoni yako. Mafanikio ni dhana pana na inaweza kuwa na maana tofauti kwa kila mtu.
Kama unavyosema, mafanikio yanaweza kutimiza malengo na matakwa yako binafsi, hata kama hayo hayahusiani na utajiri wa kifedha.
mafanikio ni kile kinachokuleta furaha na kuridhika, iwe ni kwa kuwa na afya nzuri, kujenga familia, au kufikia ndoto zako binafsi, bila kujali utajiri wa kifedha.
bahati hata haihitaji akili, inakukumbatia tuKama hujatajirika maana yake huna akili dada/kaka, bahati hata ikitokea kama huna akili unaitumiaje/unaijuaje? Kujua tu fursa ni akili, tusijitoe ufahamu
Wapo wengi waliokota dhahabu na hawakujua so tunaitaje hii kiongozi? Mtu akitumia maarifa na yakamtoa ndio tunasema alipata bahati period! Kama hakutumia chance tunasema hana bahati, lakini maarifa ya kutumia chances ndio akili ambayo baadaye tutasema alikuwa na bahati!bahati hata haihitaji akili, inakukumbatia tu
Yaani mimi nipambane kuforce connection za michongo ya shamba.
Nipate japo kibishi, Nifanye kazi kwa taabu mvua yangu, jua langu 24/7.
Nikusanye kakiasi nianzishe biashara Inakufa, Narudi tena shamba naanzisha tena biashara inaenda vizuri, mara naanguka tena.
Sikati tamaa narudi tena farm round hii ka-bussiness kanajipa, Kanakua, nidhamu ya kutosha, ubahili wa kuzidi mpaka inakua kitu cha kueleweka.
Lei hii aje mtu kirahisii rahisi tu anasema Mafanikio ni bahati, Sijui mpango wa Mungu, Are you serious..?
Haijalishi una akili au Huna, kama Huna hamu ya mafanikio na kama Hauendi speed kutafuta fursa, yaani unaamini bado una muda utafanya kesho, Endelea kusubiria bahati....ππ
NB: Mjinga aliye focus hufanikiwa zaidi kuliko Mwenye akili aliyeridhika tu na kupoa akiamini "one day Yes".
Wewe ambaye huamini Mungu umefanya nini cha maana hapaMawazo ya kimaskini haya.
A poor man in Africa who has Jesus believes that he is richer than Elon musk...π
Dini zimepumbaza sana waafrika.
Newton alikufa maskini naye alikua anaakiliKama hujatajirika maana yake huna akili dada/kaka, bahati hata ikitokea kama huna akili unaitumiaje/unaijuaje? Kujua tu fursa ni akili, tusijitoe ufahamu
19 kweusi kule?? Unajuaje kwamba level aliyokua nayo wakati ndio ilikua utajiri? Kuna facts zake za net-worth yake ya miaka hiyo na comparison ya matajiri wa wakati huo?Newton alikufa maskini naye alikua anaakili
Mkishaleta mambo ya imani tu hapa mjadala unakufa, anyway!Wewe ambaye huamini Mungu umefanya nini cha maana hapa
duniani
Nasubiria kuyaona mambo ya maana hapa duniani uliyoyafanya
Mtoto wa Bakhressa aliweka juhudi gani mpaka azaliwe na billionaire?
Bakhressa anaweza zaa kilaza/mbumbumbu ambaye hata jina lake kusoma na kuandika atashindwa wala kuhesabu atashindwa kujua lakini straight on ni billionaire, bila juhudi.
Kwa upande mwingine. Mtoto wa muuza viazi anayekosa dawa ya kutibu ugonjwa wa macho yaka-develop upofu taratibu huku yeye na familia wakiona baadae akawa kipofu anakuwa hajaweka juhudi gani huyo mtoto?
Utajiri ni siri na kudhamiria unawezakuwa unaakili ila huna siri,ninaposema siri ni wenye siri ndo watanielewa
Mkuu kwenye bidii ππΎ, Ila bado siwezi kukuunga mkono hapo kwenye upande wa bahati.Ni kweli kabisa kwamba mafanikio yanahitaji juhudi na nidhamu kubwa.
tafiti zinazohusiana na utajiri na mafanikio, kama ilivyoelezwa katika utafiti wa MIT Technology Review kuhusu mchango wa bahati katika mafanikio, zinaonyesha kuwa si lazima mtu mwenye kipaji kikubwa ndiye atakayefaidi zaidi, bali ni wale waliokuwa na "bahati" ya kushika fursa zinazoletwa na mazingira yao.
Hata hivyo, badala ya kuangalia mafanikio kama suala la bahati tu, mifano ya watu kama Bill Gates inadhihirisha kuwa mazingira, wakati, na juhudi binafsi huleta matokeo bora zaidi.
Kwa hiyo, kama unavyosema, hakuna mafanikio yanayokuja bila juhudi na kufanya kazi kwa bidii.
Exactly. Mtu yeyote anayetaja mafanikio akakosa kuitaja bahati hajui maisha huyo.kwa mjibu wa mifano hii, mafanikio si jambo linalojitokeza tu kwa juhudi binafsi, bali ni matokeo ya mchanganyiko wa vipengele vingi ikiwa ni pamoja na fursa, mazingira, na bahati.
Thamani ya vitu unavyomiliki ikiwa Ni pamoja na pesa ndio utajiri na sio kuwa na afya, tabia njema nk.Nimefanikiwa kuwa Tajiri wa afya, Tajiri wa amani ya moyo, Tajiri wa mapendo, Tajiri wa kutenda mema, Tajiri wa kusaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ili kutatua changamoto mbalimbali katika society, Tajiri wa kuonyesha mfano wa tabia Njema ya kuigwa kwa wakubwa na wadogo katika jamii yangu,Tajiri wa Hekima, akili na busara, Tajiri wa Uongozi wenye kuacha tija na alama katika Jamii yangu,..............nk.
Mimi ni smart na nina akili, Hayo mafanikio mengine unayoyazungumzia ni yapi?
Unafanyaje pesa ikutafute?Ni ujinga ndio... Wengi wanatafuta pesa badala yakufanya pesa iwatafute.
Ukitafuta pesa utaiba, utakuwa jambazi, utafisadi, utakaba, utakufa pia.