Kama wewe sio Freemason basi hujui chochote kuhusu Mungu wala ulimwengu

 
Degree za free masons zipo tatu tu hizo 33 ni utaratibu wa Freemasons wa Scotland ambao wamezibreak down hizo hizo tatu
 


Vipi tena? Societies za Simba ,tembo ,panya au??
 
.


Kuna mambo ambayo wengi hamjui pamoja na Mungwa wa kabili aliyekupa hii elimu. Hawa free mason ni watu wanaocheza na akili ya binadamu ktk kuficha siri zao au kuhakikisha ukweli halisi hauwekwi wazi lkn wao nyuma ya pazia wakiendelea na mipango na taratibu zao. Hawa jamaa wana mfumo unaitwa REFORMED PALLADIAN RITE au REFORMED PALLADIUM na utaratibu huu una makundi mawili:
1:WAANGAZIWA -ADELPH au brothers hawa wanajulishwa na walijulishwa na kufundishwa ukweli juu ya yule wanayemwabudu ya kuwa ni LUCIFER. Kundi la pili.
2:COMPANION OF ULYSSES AU COMPANION OF PENELOPE hawa wanafundishwa ukweli ktk mtindo wa kinyume kuwafanya wasijue kile wanachokiabudu huku wakidhani wanakifahamu. Na hapa ndipo watu wengi huangukia wakifundishwa kwamba freemason ni watu wa kawaida. Kutokana na mafundisho yao kuna maana mbili maana ya ndani na maana ya nje, hivyo Mungwa wa Kabili alikufundisha yale ya nje kwa sababu yeye si mwangaziwa (EENLIGHTENED) kwa kifupi tu mkuu utakuwa umenielewa kidogo. Na. hadi mwaka 1954 walikuwa wameshatengeneza digrii 24kati ya 34 walizo nazo kwa sasa. Na zilitengenezwa na CATHOLIC JESUITS ktk chuo cha CLERMOUNT jijini Paris mwaka huo 1954.digrii za mwanzo ni hizi:
1.Apprentice
2.Fellow craft
3.Master - hii aliipata JAY Z mwaka 2012
4.secrete master
5.Perfect master
6.Intimate secretary
7.Intendate of the building
8.Prorost and judge
9.Elect of nine
10.Elect of fifteen
11.Illustrious elect, chief of the eight tribes
12.Grand master archtect
13.Royal arch
14.Grand elect, ancient, perfect
Master
15.Knight of the sword
16.Prince of Jerusalem
17.Knight of the east and west
18.Rose croix knight
19.Grand pontiff
20.Grand patriarch
21.Grand master of the key of Freemasonry
22.Prince of Libanus
23.Sovereign prince of adept chief
24.Illustrious Knight commander of the black and white eagle
25.most illustrious sovereign prince of Freemasonry, grand knigt, sublime commander of the royal secret.
To be cont... NB:FREEMASON HAWANA SHIDA NA DHEHEBU LAKO.
 
Am very sympathetic with you ...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Freemasonry Degree zipo tatu tu. Hizo 33 ni mfumo wa Freemasonry wa Scotland ambao wame zi break down hizo hizo tatu na kuzifanya kuwa 33.
Na sababu ni hiyo namba 33. Ina maana kubwa sana katika freemasonry
 
We umekomaa na poiti yako ya pembe Tatu, mfano ambao hauna mantiki yeyote! Mwanadamu alipewa free will, achague mema au atende anavyo ona yeye, kuhusu watu kurusha mabomu, uzinzi, mauaji, na mambo mengine ni mwanadamu amechagua mwenyewe kama wewe ulivyo chagua kumkana Mungu! Huo ni uchaguzi wako, Usipotoshe watu kwa pointi zako za kijinga!
 
Empty mind
 
Kiranga ni mbabaishaji hajielewi, we jibu swali mbona unamkwepa
 
We kakojoe
Kalale maana unazungumza kitu hicho hicho Muda wote, huna jipya
 
nlikuwa najua Kiranga ni great thinker kumbe hana chochote, zee la kukopi na kupest! Unajichanganya kinoma arifu!
 
nlikuwa najua Kiranga ni great thinker kumbe hana chochote, zee la kukopi na kupest! Unajichanganya kinoma arifu!
Hujajibu hoja. Umeleta kiroja.

Argue. Don't shout. I do not need your approval.

Halafu. Kwangu mimi, "Great Thinker" ni tusi kubwa sana.

Nakuomba hata siku moja usiniweke katika kundi la "Great Thinker".
 
Unatafta wafuasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…