Atheism ilikuwapo kabla sijazaliwa.sahizi mkuu una wafuasi wengi sana(atheist)
#sijui kama unalijua hilo?
Sijakataa ni kweli atheist walikuwepo enzi na enzi lakini kws wana JF ninao kutana nao huku mtaani na kuwauliza kuhusu swala lao la imani, wengi hujibu kwa sasa hawajihusishi na imani yeyote na chanzo cha wao kufumbuliwa macho ni wewe, mimi yule na wale (member wa hapa jukwaani umetu- inspire kwa kiasi kikubwa sana.Atheism ilikuwapo kabla sijazaliwa.
Hivyo mtu kuwa atheist si kuwa mfuasi wangu, labda ni watu ambao tuna maoni sawa.
Kadiri watu wanavyozidi kuelimika, wanazidi kujua ukweli.
Ndiyo maana kuna mrandano kati ya nchi za watu wenye elimu kubwa na atheism (northern Europe is an example) na nchi zenye elimu ndogo zina amini dini zaidi (Africa for example)
Sasa hata kwetu Aafrica watu wanavyozidi kusoma, wanapanua mawazo, wanakuwa freethinkers/ atheists.
Ni jambo rahisi sana kuliona.
[emoji851][emoji851][emoji851]mzee wa chura kaibuka.Kiranga aibuka!
Asante. Nashukuru sana kusikia hivyo.Sijakataa ni kweli atheist walikuwepo enzi na enzi lakini kws wana JF ninao kutana nao huku mtaani na kuwauliza kuhusu swala lao la imani, wengi hujibu kwa sasa hawajihusishi na imani yeyote na chanzo cha wao kufumbuliwa macho ni wewe, mimi yule na wale (member wa hapa jukwaani umetu- inspire kwa kiasi kikubwa sana.
#long live Kiranga
Nawaona nawaona tu, ukiona kimya usifikiri sipo.Kiranga aibuka!
Mkuu Kiranga naomba unipe tofauti kati ya atheism na luciferianism,kuna sehem nimesoma hawa luciferian hawaimani katika uwepo wa mungu wala miungu lakini wanaamini kwamba knowledge ni kitu pekee kitakachomukomboa binadamu ,the same as atheistAtheism ilikuwapo kabla sijazaliwa.
Hivyo mtu kuwa atheist si kuwa mfuasi wangu, kwa sababu sikuianzisha mimi, labda ni watu ambao tuna maoni sawa.
Kadiri watu wanavyozidi kuelimika, wanazidi kujua ukweli. Wanazidi kuhoji uongo wa wazi ulio katika dini.
Ndiyo maana kuna mrandano kati ya nchi za watu wenye elimu kubwa na atheism (northern Europe is an example) na nchi zenye elimu ndogo zina amini dini zaidi (Africa for example)
Sasa hata kwetu Africa watu wanavyozidi kusoma, wanapanua mawazo, wanakuwa freethinkers/ atheists.
Ni jambo rahisi sana kuliona.
Ukiongea habari za Lucifer, ushaingia katika mkondo wa habari za hadithi za Mungu. Kwa sababu Lucifer katika narrative traditional ya Mungu, alikuwa malaika wa Mungu aliyeasi.Mkuu Kiranga naomba unipe tofauti kati ya atheism na luciferianism,kuna sehem nimesoma hawa luciferian hawaimani katika uwepo wa mungu wala miungu lakini wanaamini kwamba knowledge ni kitu pekee kitakachomukomboa binadamu ,the same as atheist
Mkuu unadhani dini zina umuhimu kwa kiasi chake au ni za kupuuza tu..? (Hasa hizi zinazofundisha habari za Mungu)Ukiongea habari za Lucifer, ushaingia katika mkondo wa habari za hadithi za Mungu. Kwa sababu Lucifer katika narrative traditional ya Mungu, alikuwa malaika wa Mungu aliyeasi.
Luciferianism ni imani inayomtetea Lucifer, wanasema kwamba, Mungu alikuwa mchoyo wa elimu ndiyo maana alimkataza Adam kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
Wanamuona Lucifer kama mkombozi aliyepingana na Mungu, kwa kutaka kumfungua macho Adam, ili Adam apate elimu ya kujua mema na mabaya awe kama Mungu.
Luciferianism si atheism, ni dini inayoamini Mungu tofauti tu, kama Waislamu wanavyoamini Allah na Wakristo wanavyoamini Jehovah, hawa wanaamini Lucifer ndiye Mungu, kwa hiyo si atheism.
Tatizo langu na habari hizi ni kwamba, zinarudi kule kule nilikokukataa kwenye hadithi za Biblia za Mungu na Adam.
Mimi sikubali Mungu yupo, sikubali Lucifer (ambaye ametoka kwa Mungu) yupo. Ile story ya Adam kuwa mtu wa kwanza ni hadithi , habari za Biblia nyingi zimeandikwa na kuwa edited na watu mara kibao.
Kwa hiyo, Luciferianism si atheism, atheism ni kusema Mungu hayupo, Luciferians wana Mungu wao, Mungu wao ni Lucifer, hivyo hao si atheists.
Ukiongea habari za Lucifer, ushaingia katika mkondo wa habari za hadithi za Mungu. Kwa sababu Lucifer katika narrative traditional ya Mungu, alikuwa malaika wa Mungu aliyeasi.
Luciferianism ni imani inayomtetea Lucifer, wanasema kwamba, Mungu alikuwa mchoyo wa elimu ndiyo maana alimkataza Adam kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya.
Wanamuona Lucifer kama mkombozi aliyepingana na Mungu, kwa kutaka kumfungua macho Adam, ili Adam apate elimu ya kujua mema na mabaya awe kama Mungu.
Luciferianism si atheism, ni dini inayoamini Mungu tofauti tu, kama Waislamu wanavyoamini Allah na Wakristo wanavyoamini Jehovah, hawa wanaamini Lucifer ndiye Mungu, kwa hiyo si atheism.
Tatizo langu na habari hizi ni kwamba, zinarudi kule kule nilikokukataa kwenye hadithi za Biblia za Mungu na Adam.
Mimi sikubali Mungu yupo, sikubali Lucifer (ambaye ametoka kwa Mungu) yupo. Ile story ya Adam kuwa mtu wa kwanza ni hadithi , habari za Biblia nyingi zimeandikwa na kuwa edited na watu mara kibao.
Kwa hiyo, Luciferianism si atheism, atheism ni kusema Mungu hayupo, Luciferians wana Mungu wao, Mungu wao ni Lucifer, hivyo hao si atheists.
Kwa nani? Kwa kiwango gani? Kwa lengo gani?Mkuu unadhani dini zina umuhimu kwa kiasi chake au ni za kupuuza tu..? (Hasa hizi zinazofundisha habari za Mungu)
Nawaona nawaona tu, ukiona kimya usifikiri sipo.
Mambo ni aje?
Huyo Mungu anayehitaji watu kumtangaza ili wengine wamuelewe ni wa maboksi.Tulikumiss sana mkuu, watu walikuwa wanatamba sana hapa kuwa Mungu anaishi na kutawala kisa wa kuwachallenge hakuna!
Perfect[emoji119]Asante. Nashukuru sana kusikia hivyo.
Moja ya mambo niliyoyaona yaliyofanya atheism kuonekana ni kitu cha ajabu sana ni wengi wetu kukosa kujua vizuri lugha za watu wa nje, hususan Kiingereza.
Kwa kweli nimetafuta maandishi ya atheism katika Kiswahili, sijayapata. Kwa hiyo, kwa mtu ambaye hajasafiri nje ya Tanzania au hajajikita sana katika kusoma vitabu vya Kiingereza, hususan vitabu vya falsafa, kujua atheism kutoka maisha ya kila siku ya Kibongobongo ni nadra sana, labda baba awe profesa wa chuo anayefundisha mambo haya au msomi wa aina hiyo, na watu hawa ni wachache.
Hivyo, kwa kupitia JF na posts zangu za muda mrefu hapa, inawezekana kabisa nikawa ni mtu ambaye nimeandika kuhusu atheism kwa kirefu zaidi katika Kiswahili kuliko mwingine yeyote.
Ila, napenda kuonya jambo moja. Kukataa dini na kuwa atheist si tiketi ya kuishi bila moral compass, kwa kweli, mimi nimekataa dini kwa sababu nimeona dini ina a very low bar, na mimi kukataa dini naweza kujiwekea a higher bar kwenye kuishi in a moral way.
Kwa hivyo nisingependa kuona kuwa nachochea watu waache dini kuwa atheists halafu wakaacha kuishi kwa kusaidiana, kuelimishana, kuwa na huruma kwa wengine etc, within a reasonable limit.
.Huyo Mungu anayehitaji watu kumtangaza ili wengine wamuelewe ni wa maboksi.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo na upendo wote angekuwepo, asingehitaji mtu kumtangaza ili aeleweke.
Mrejesho wa hiiAlchemically ndio .Hata ukitaka God awe proved kwako " Anatomically" inawezekana pia..Anyways kuhusu uchawi " Go and tell ur biological father that I Likud of Jamii Forums has said that tomorrow he will die and on the day of his barrier there will be the heaviest rainfall ever" Fanya hivyo halafu uone kama baba ako mzazi ataishi zaidi ya hiyo kesho.
Na kuja kwa yesu je alikuja kumtangaza nani na kwa agizo LA nan?Huyo Mungu anayehitaji watu kumtangaza ili wengine wamuelewe ni wa maboksi.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo na upendo wote angekuwepo, asingehitaji mtu kumtangaza ili aeleweke.
Maandiko ya Yesu yamemtangaza Mungu ambaye hayupo. Kwa kutumia akili zake na mapokeo ya utamaduni wa jamii yake.Na kuja kwa yesu je alikuja kumtangaza nani na kwa agizo LA nan?
Yesu alkuja kwa maagizo ya nan hujajibu mkuuMaandiko ya Yesu yamemtangaza Mungu ambaye hayupo. Kwa kutumia akili zake na mapokeo ya utamaduni wa jamii yake.
Kumtangaza Mungu si lazima awepo.
Gazeti la SANI limewatangaza Kipepe, Madenge, Lodi Lofa, Ndumilakuwili.
Wote hawapo hao. Ni fictional characters.
Aristablus Elvis Musiba alimtangaza Willy Gamba, kachero jasusi wa Kitanzania. Wa kutungwa, hayupo.
Kumtangaza fictional character hakumfanyi huyo fictional character awepo.
Mungu ni character katika hadithi ya kutungwa, hayupo.
Ndiyo maana mpaka leo nauliza wanaosema Mungu yupo wathibitishe yupo, wanashindwa.