Kama wewe una miaka zaidi ya 25 na huna mpenzi, hilo ni tatizo sugu

Ugonjwa vipi tena??
Ni hayo mapenz unayoongelea mkuu
Mwanaume anatakiwa awe na maadili ya kiume, na mwanamke anatakiwa pia awe na maadili ya kike; tofauti na hapo hayo mengine ni magonjwa ya akili, kuingiza kitu sehemu ambayo si sahihi ni ugonjwa wa akili
 
🀣🀣🀣 Hii kali
 
Ruin your 20s by settling, because you dont want to say that you're alone.
 
Kila mtu ashinde mechi zake [emoji848][emoji848]
 
Ni kweli
 
Never say never
Kila kitu unachokiona kwa mtu kina sababu ya kuwepo mkuu
 
chalii
 
Kuna jamsa ni workmate iv..kagonga 28 anakwambia hajawahi kugonga tangia kuzalia na hata kwl anavyoongea ni mgeni kabxa kweny masuala ya sex...pamoja na kwamba alipita chuo chenye totoz UDSM .....tushamuhamasisha sanaa atafute demu agongee ila hyo kweny kichwa yake haipo..ss cjui ni wale wa kushika sheria mkononi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…