Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Unlawful gathering is a criminal offence under Tanzania penal code. So is the conspiracy to do so, you don’t have to perform the actual act to break the law.

Unapopanga mipango ya kuvunja sheria ni kosa la jinai.

Penal code hiyo hiyo inasema kuhamasisha mutiny ni kosa la uhaini. Mbowe kupitia mkutano aliofanya na viongozi wenzake na maneno aliyotamka tayari walishavunja sheria.

That is not to say ppl are not entitled to protest provided they abide by the law.
 
Unajua kilicho nyuma ya pazia au?

Tuwaache wafanye kazi yao... wananchi tunataka kuishi kwa amani sio kuchafuliwa amani nchini...
Amani kwako ni bora hata ukidhulumiwa haki yako? Au sababu mume anakula kupitia ChiChiem
 
Maandamano yanahitaji bajeti wewe unadhani mtu atatembea kuanzia asubuhi huku anaapiga kelele bila kupata hata chai, maji, supu, huduma ya kwa anayeumizwa.

Wakubwa zenu wamewekwa holding room Sasa nyie mtapigwa virungu tuu.
Hivi ulishwahi kupigwa kwenye maandano mpaka ukahisi kuugua lakini ukienda hosipitali kupimwa ugonjwa hauonekani.​
Nimecheka kichizi 😂😂😂
 
Unlawful gathering is a criminal offence under Tanzania penal code. So is the conspiracy to do so, you don’t have to perform the actual to break the law...
Mtasubiri haki mpaka umauti 😂
 
Wapinzani Wangeacha tuu maandamano ili Goma lianze automatically.

Sasa watanzania kesho Tunaendelea na Shughuli zetu Kama kawaida.

Nilikuwa nawaza nitaendaje kwenye shughuli zangu za kupeleka mkono kinywani huku Kuna maandamano.
Ulipata muda wakuiuliza NECCCM kuhusu upumbafu waliofanya?
 
Hawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa...

Magufuli oyeeeeeeee[emoji177]
Wakati huo unatumia vpn kuandika kweli ujinga mzigo
 
Watu tushaamka tunajipanga vizuri, maji msosi, leo lazima kiwake hii badala ya kunirudisha nyuma inanipa mzuka zaidi. Watatuambia wao hizo vurugu wameziona wapi, mtaniona nimekamatwa na kitambaa cheupe kabisa
 
Hawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa...

Magufuli oyeeeeeeee[emoji177]
Hii hoja huwa ni ya kipumbavu sana! Kwani huo ubunge wanajipigia kura wenyewe!? Haki ya aliyepiga kura ikaporwa iko wapi?
 
1604281821503.png
 
Hao wanaoandamana kama hawajaomba kibali cha kuandamana utawalinda vipi?
Sasa kama kila wakiomba kibali wananyimwa makusudi kwa kubambikiwa sababu zisizo na msingi wafanyeje.Hii favouritism imewachosha wengi

Wanachofanya chama dola ni kama kumuadhibu paka katika chumba ambacho kipo sealed hamna pa kutokea. Ni swala la muda tu kabla paka hajacharuka na kurarua uso wao vibaya mno.
 
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbushia Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Unaifananisha Tanzania na Libya? Kisa Mbowe,Lema ,Mdee na wewe mmekosa ubunge?. Libya Ghadaffi aliondolewa sio kwa watu kupinga kura za wananchi, fuatilia mambo kwa undani.
 
Hongereni jeshi letu la polisi. Mnafanya kazi nzuri sana. Tunu amani ni lazima tuilinde kwa gharama yoyote ile.
 
Endelea kuandamana kwa kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii.

Polisi wenzako washaanza kuandamana kutuwinda. Wanapita kwenye magesti mabaa na maeneo ya stendi usiku huu. Wanatuogopa polisi!

Wamenikuta zangu hapa gesti nimewajibu kunya hawatanisahau

Acha uongo wewe [emoji2][emoji2][emoji2], eti umewajibu kunya.
 
Hao wanatukera sana, nadhani siyo kuwashikilia tu hata mkiamua muondoke nao moja kwa moja. Watanzania zaidi ya milioni 50 ni muhimu kuliko watu hao watatu. Kwa sababu kuchoma vituo vya mafuta ni zaidi ya siasa, ni ugaidi. Kama wapo mashekhe ambao wapo ndani kwa tuhuma tu za ugaidi na wakati hawa ushahidi wao unaanza kutolewa waziwazi, basi isiwe shida nao hao kusukumwa wapotelee huko au vinginevyo....
Hakukuwa na uchaguzi ilikuwa kuwatoa mawakala vituon na kuingiza Kura zao
 
Back
Top Bottom