Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba iwe kweli tuone ushujaa huo.Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Kesho watu wanaendelea na shughuli kama kawaida. Hiyo kesi itawayumbisha sana kila mara karipoti polisiHawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa...
Magufuli oyeeeeeeee💕
Itafute. Ukiipata niwekee hapa.Mkuu sina hiyo sheria kwa sasa lakini hiyo sheria ipo hata wewe unaweza kuitafuta. Hizo sheria zipo nchi zote duniani zinatumika.
Akamkamate kigogoSafi sana Mambosasa kusanya wote hao weka ndani.
Wamevunja sheria gani?Hao si tumeongea na wamevunja sheria ambazo wao wenyewe walizitunga bungeni? Kama zilikuwa hazifai miaka 15 ya Mbowe alipokuwa Bungeni kwa nini hakuzipinga? Hawa ni wasanii tu.
Anaandika mambo asiyoyajua.Itafute. Ukiipata niwekee hapa.
Usimsahau Mdee Naye anahusika kuchochea
Safi sana Mambosasa kusanya wote hao weka ndani.
Mambosasa yupo live ITV usiku huu akisema amewakamata Mbowe, Lema na Jacob kwa kuhamasisha maandamano.
Hii haitarudisha nyuma morali wa waandamanaji.
----
Hivi Mambosasa ana akili timamu ?
Kesho tutawatoa kwa maandamano
Ni heri kuwa mikononi mwa police ukipinga kunyanyaswa kuliko kuwa nje huku ukiliwa jicho!Nawewe muda si mrefu utakuwa mikononi mwa police
Pole pole KASEMA "KUAPISHWA KWA MAGUFULI HAKUNA SHEREHE"[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
we boya unajua unachokiongea au unaongea pumba tu kama mapepe....mashenz typeee nyieTatizo kubwa pia ni wapinzani wengi ni walevi Hasa Mbowe.
Mbowe anatakiwa afungwe Gerezani kwa kuua chama chake na kutoa fursa ya CCM kuiba kura kwa sababu ya kukosa watu wanaokipigania Chama kwa UDI na uvumba . Hivi Mbowe kweli ana akili kushindwa Kwenye Ubunge Hai!!