TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Pole sana. Hata hivyo, je. unaweza kusema chochote juu ya uharibifu uliofanywa mikoa ya kusini kwa uratibu wa vyama vya upinzani dhidi ya rasilimali za serikali na watu binafsi!? Je. Umefurahishwa na tukio hilo!?Yeah, agreed!
Magufuli na genge lake shamba lake liko kwa Tume na tractor lake ni jeshi, usalama na polisiShamba lao lipo Bagamoyo
Ila leo wanamlilia Gadaffi kwa machozi ya damu, mabeberu yanafyonza mafuta kama ya bibi yaoEti vijana wavuta bangi! Imenikumbusha Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Acha kudanganya watu wewe!Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Hamna lolote hapo utatangenishaje police na ccm kwa Tanzania unafikiri kila mtu ni mtoto mdogo..? Why kila upinzani wakitaka kuandamana mnasema mna taarifa za kiintelijensia mnatupilia mbali maandamo wakati ccm wakiomba kuandamana wanapewaKatika shughuli za kipolisi hiyo ni tactic ya kudhoovisha hamasa kwa wale wanaochochewa kwani wasipowaona viongozi kule mbele basi hawawezi kujitokeza mstari wa mbele.
Pili, Mambosasa ametoa sababu za kuwakamata wahusika na wamekutwa na vidhibiti kadha wa kadha.
Hivyo ni kazi ya polisi kuthibitisha vidhibiti hivyo, kukusanya ushahidi wote na wakiridhika wawapeleke mahakamani.
Wa kulaumiwa siyo Mabeberu wa kulaumiwa Ni waafrika wenyewe.Ghadafi angeondoka Madarakani kwa Amani lingetokea tatizo gani? Udikteta ndio unaharibu Amani ya Africa.Ukiangalia hali ilivyo Libya kwa sasa, je! Huamini maneno ya Ghadafi aliyosema!
Hii kazi wenzio wameisomea wewe unaleta upupu hapaHicho wanchofanya ni more dangerous zaidi, Bora wangewakamata wakati wa maandamano...
Ila mwamba hii masiku una nondo kweli kweli.
Yaliyopita si ndwele.
Kufa au kuishi mpaji ni maulana.
Naomba unipe mrejesho@sexless hapahapaMimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Mimi na magufuli tunakutana kwenye Corona tu.corona haikuitaji ushabiki wa kisiasa.
Police wakishirikiana na kina Bashite walivamia clouds wakawapa kichapo waliowakuta cctv footage ipo serikali na police wako kimyaNdio ni wanasiasa.
Ila sikubaliani na wewe kwamba polisi kwa walichokieleza leo wametumika kuwadhibiti kisiasa...
Hii kauli ya kumtaja taja Mungu kwenye uonevu inahamasisha unyonge. Ifike mahali tusitaje taje tena zaidi ni kuchukua hatua kwa hawa wapumbavu...kwa “kosa la kutaka kuchoma miundombinu na vituo vya mafuta”
Polisi wa Tanzania Mungu anawaona!
This is very unnecessary.
They should free them ASAP with no conditions.
Nililipa penda pale alipotinga kwa MO, usiku mkubwa akiwa hajavaa kofia! Kichwa kipo uchi kabisa kile!Mambosasa ni Futuhi ya Polisi. Si unakumbuka Futuhi ya Mo?
Huyu mzee ni boya sn, hakuna hata wachawi wa kumwondoa?Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA...
Akili ni nywele huyu jamaa anakipara.Nililipa penda pale alipotinga kwa MO, usiku mkubwa akiwa hajavaa kofia! Kichwa kipo uchi kabisa kile!