Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Yeah, agreed!
Pole sana. Hata hivyo, je. unaweza kusema chochote juu ya uharibifu uliofanywa mikoa ya kusini kwa uratibu wa vyama vya upinzani dhidi ya rasilimali za serikali na watu binafsi!? Je. Umefurahishwa na tukio hilo!?
 
General sanctions are coming over you. wait to see,
including step in policy to protect civilians.
 
Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu
Acha kudanganya watu wewe!
 
Katika shughuli za kipolisi hiyo ni tactic ya kudhoovisha hamasa kwa wale wanaochochewa kwani wasipowaona viongozi kule mbele basi hawawezi kujitokeza mstari wa mbele.

Pili, Mambosasa ametoa sababu za kuwakamata wahusika na wamekutwa na vidhibiti kadha wa kadha.

Hivyo ni kazi ya polisi kuthibitisha vidhibiti hivyo, kukusanya ushahidi wote na wakiridhika wawapeleke mahakamani.
Hamna lolote hapo utatangenishaje police na ccm kwa Tanzania unafikiri kila mtu ni mtoto mdogo..? Why kila upinzani wakitaka kuandamana mnasema mna taarifa za kiintelijensia mnatupilia mbali maandamo wakati ccm wakiomba kuandamana wanapewa

And by the way kama mfalme anakubalika why hapendi ushindani? Why hapendi watu watumie haki yao kikatiba kufanya maandamano intelijensia yetu iko serious tu na vyama vya upinzani tu sababu wameshajenga mentality upinzani ni fujo je hiyo intelijensia ilifanya nini kule kitaya!

Hebu acheni double standard mfalme kashinda kwa kishindo washindwa hawajakubalina na matokeo acheni wayapinge na ukizingatia ccm mmejificha kwenye kivuli cha matokeo ya rais hayahojiwi mahakamani na bado mnazuia watu kuandamana mnasema hawana kibali mara kufuata taratibu kwani ni mara ya kwanza kuzuiwa upinzani kuandama ?
 
Ukiangalia hali ilivyo Libya kwa sasa, je! Huamini maneno ya Ghadafi aliyosema!
Wa kulaumiwa siyo Mabeberu wa kulaumiwa Ni waafrika wenyewe.Ghadafi angeondoka Madarakani kwa Amani lingetokea tatizo gani? Udikteta ndio unaharibu Amani ya Africa.

Kama kupewa chakula bila uhuru Ni Bora Basi watu wanaoshinda na njaa mitaani wangefanya uhalifu kwa makusudi ili wapelekwe mahabusu ambako Wana uhakika wa chakula
 
Mimi na magufuli tunakutana kwenye Corona tu.corona haikuitaji ushabiki wa kisiasa.
Ila mwamba hii masiku una nondo kweli kweli.

Yaliyopita si ndwele.

Kufa au kuishi mpaji ni maulana.
 
Ndio ni wanasiasa.

Ila sikubaliani na wewe kwamba polisi kwa walichokieleza leo wametumika kuwadhibiti kisiasa...
Police wakishirikiana na kina Bashite walivamia clouds wakawapa kichapo waliowakuta cctv footage ipo serikali na police wako kimya

Juzi sabaya na genge lake wakamvamia mbowe na cctv footage hadi wanatumia plate number za UN ila ajabu polisi iko kimya Sabaya anatumia hadi bunduki ni sawa? Mafunzo ya kipolisi kapata wapi ? Serikali ina cha kujibu hapo

Kwa bongo police bado sana kutenganisha na ccm kuna nchi nliwahi kufika nilipotezana na mwenyeji wangu tulipopaswa kukutana ila kwa kua niliambiwa ukipotea tu mtafute police yoyote atakupa uelekeo basi baada ya kuwaona mapolice walinirudisha hadi home kwa gari yao na hadi hapo mwenyeji wangu aliponielekeza tena tukaonana ndio maana nasema police ya bongo ni policeccm ukubali ukatae
 
...kwa “kosa la kutaka kuchoma miundombinu na vituo vya mafuta”

Polisi wa Tanzania Mungu anawaona!
 
Back
Top Bottom