MKUU unaelekea marekani ambako kesho wamepanga kuandamana na kufanya fujo kwa kumuunga mkono Trump madai yake ya kuhujumiwa ktk uchaguz ambao unatarajiwa kuanxa hapo kesho,,WENZETU WAMEVUNJA REKODI YA UNUNUZI WA BUNDUKI,,USIWE KILEMA KUDHAN MAREKANI ATAKUONEA HURUMA ILI HALI YY MWENYEWE AMEKALIA CHUPA,,Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Hana mbwa huyuHivi Mambosasa ana akili timamu?
Ninawasiwas na akili yakoHivi Mambosasa ana akili timamu?
Akili yako haiko timamuMimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Dikteta amejifika kwenye mwanvuli wa diniHii kauli ya kumtaja taja Mungu kwenye uonevu inahamasisha unyonge. Ifike mahali tusitaje taje tena zaidi ni kuchukua hatua kwa hawa wapumbavu
Msije mkashangaa kumuona hapo nyumbani kwa Mbowe akiywa supu, maana linapenda sana midosi hili jamaa.Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA..
Hawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa.
Magufuli oyeeeeeeee[emoji177]
Hamjafika fika bado saa mbili ndio Hi I[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Andamanaaa Leo pale Ubungo udai haki porojo za mitandaoni za nini huku tuachieni ss wa kijaniiiHii nchi ni ya kishetani kweli, watu wamejaa uongo na uzindaki tena hawaoni hata aibu wanapoongea, lakini msipowaruhusu watu watoe hisia zao mnatengeneza ugaidi
Andamana saiz ni saa mbili kasoro dakika6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili tulilitarajia ila wanazidi kuharibu. Hakuna watachowafanya zaidi ya kuja kuwaachia tu lengo likiwa ni kuvuruga maandamano ya kesho kwani hayo mashtaka hata wakiambiwa watoe ushahidi kuyathibitisha watakuwa hawa hawana...
Umefika uwanja wa maandamano au bado umelala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kwa kadri ya ninavyofahamu haya ni mafanikio ya Maandamano hata kabla hayajaanza.
Kausha!!we boya unajua unachokiongea au unaongea pumba tu kama mapepe....mashenz typeee nyie
Hujaulizwa wewe andamana saiz vijana wanakusubiri pale terminal [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi unafikili Mbowe ni masikini au kapuku kama wewe??
Mkuu, nlionya humu kwamba watanzania linapokuja suala la maslahi ya taifa lao wako vizuri sana. Ndio maana kila siku nilikuwa nasema Amsterdam anampunguzia kura mteja wake Lissu.Hapa ndipo busara ya watanzania huwa inaonekana,
Hakuna atayejitokeza kupigania maslahi ya waliokosa ruzuku,
Mbowe lazima apambane, kupoteza milioni 300 kwa mwezi sio mchezo kabisa.