MKUU unaelekea marekani ambako kesho wamepanga kuandamana na kufanya fujo kwa kumuunga mkono Trump madai yake ya kuhujumiwa ktk uchaguz ambao unatarajiwa kuanxa hapo kesho,,WENZETU WAMEVUNJA REKODI YA UNUNUZI WA BUNDUKI,,USIWE KILEMA KUDHAN MAREKANI ATAKUONEA HURUMA ILI HALI YY MWENYEWE AMEKALIA CHUPA,,Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.