Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
MKUU unaelekea marekani ambako kesho wamepanga kuandamana na kufanya fujo kwa kumuunga mkono Trump madai yake ya kuhujumiwa ktk uchaguz ambao unatarajiwa kuanxa hapo kesho,,WENZETU WAMEVUNJA REKODI YA UNUNUZI WA BUNDUKI,,USIWE KILEMA KUDHAN MAREKANI ATAKUONEA HURUMA ILI HALI YY MWENYEWE AMEKALIA CHUPA,,
 
Yaan hawa kina Mbowe si wangekuwa wanajificha jamani inakuwaje mnakamatwa au ndio kukwepa maandamano [emoji2303]
 
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA..
Msije mkashangaa kumuona hapo nyumbani kwa Mbowe akiywa supu, maana linapenda sana midosi hili jamaa.
 
Hawa wanaumia sana maisha ya Ubunge kuyakosa.. wakalime sasa.. waje huku vijijini.. maisha matamu kwa umeme wa REA ndio kumekuchaaaaaa.

Magufuli oyeeeeeeee[emoji177]

Hivi unafikili Mbowe ni masikini au kapuku kama wewe??
 
Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.
Hamjafika fika bado saa mbili ndio Hi I[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nchi ni ya kishetani kweli, watu wamejaa uongo na uzindaki tena hawaoni hata aibu wanapoongea, lakini msipowaruhusu watu watoe hisia zao mnatengeneza ugaidi
Andamanaaa Leo pale Ubungo udai haki porojo za mitandaoni za nini huku tuachieni ss wa kijaniii
 
Hili tulilitarajia ila wanazidi kuharibu. Hakuna watachowafanya zaidi ya kuja kuwaachia tu lengo likiwa ni kuvuruga maandamano ya kesho kwani hayo mashtaka hata wakiambiwa watoe ushahidi kuyathibitisha watakuwa hawa hawana...
Andamana saiz ni saa mbili kasoro dakika6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Saa mbili na dakika kumi sasa..... maandamano yanaendeleaje huko?
 
Hapa ndipo busara ya watanzania huwa inaonekana,

Hakuna atayejitokeza kupigania maslahi ya waliokosa ruzuku,

Mbowe lazima apambane, kupoteza milioni 300 kwa mwezi sio mchezo kabisa.
Mkuu, nlionya humu kwamba watanzania linapokuja suala la maslahi ya taifa lao wako vizuri sana. Ndio maana kila siku nilikuwa nasema Amsterdam anampunguzia kura mteja wake Lissu.

Yani mtu anaetegemea kutoka kwake ndio watoto wake waende chooni alafu wewe mtu uliekusanya milions of money kwa miaka zaidi ya 10 utatize shughuli zake kisa unapigania kwenda kukusanya milions nyingine?

Kuna watu kibao jana naongea nao wanasema, wao hawataruhusu genge la watu wachache livuruge mfumo wao wa kujiingizia kipato.
 
  • Thanks
Reactions: len
Back
Top Bottom