Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ulisema utaandamana, imekuwaje? Nyie watu ni wajingachadema acheni wananchi wapuuzi wa nchi hii waisome namba, mnajitoa kwa ajili yao ila hakuna support yeyote. kiufupi huwezi kumpigania mtumwa ambaye aliyozea utumwani.
Hauandamani tena?
Una uwezo wa kuzuia gaidi ww?!Magaidi wanaachwa kuandamana kweli? Sawa umuache MULLAH OMAR kuandamana.
Uvccm bhana..
Kumbe safari bado ni ndefu kwa watanzania, hata wanaojua kusoma na kuandika! Kura ni uamuzi wa wananchi siyo mgombea. Katika hili anayenufaika ni mwananchi siyo aliyepigiwa kura!Mimi kazi yangu ni kupiga kura, kumpa mgombea. Yeye ana wajibu wa kuilinda na kuhakikisha inamnufaisha kwa kuongezea na za wengine.
Wewe mwenye akili timamu umeandamana?Hivi Mambosasa ana akili timamu?
Gaudi si kama hao wamezuiwa na kamanda mambosasa au wewe gaidi unajua kama ni monster au ni dubwasha kubwa?Una uwezo wa kuzuia gaidi ww?!
Unajua magaidi au unasema tu!
Mpendwa za kuambiwa changanya na za kwako nadhani huwajui hao watazamaji wakujitegemea ni kina nani wanaitwa Tanzania El watch(TEW) ni hao hao wanavuruga tweeter ni Maria na kundi la kama huyo anaejita Kigogo ni Propaganda ambazo CDM imekuwa inafanya badala ya kuunda taasisi na Harakati.Kulikuwa na multiple voting na ballot pre-ticking za kutosha - kwa kura za Urais na ubunge pia. Fuatilia taarifa za Watazamaji wa kujitegemea
Hajatoka ndani. Anawasikilizia kwenye mtandaoYule mlemavu hayupo! Nadhani kwa sababu ya kundi maalum...
Ni haki ndio ila notisi kwa jeshi la polisi kabla ya saa 48,ila wao hawajafanya hivyo kwa hiyo inakuwa kosa kisheria kulingana na uandaaji na mipango ya maandamano hayo kuwa na viashiria vya kudhuru/ mali na uhai wa watu ngoma inageuka na kuwa UGAIDI .Maandamano ya amani ni haki ya kikatiba.
Ama nakosea?
Ukiwa huna ajira unaonekana mvuta bangi
Kwani ukipewa mshahara au malipo yako, anayenufaika ni nani, aliyekupa au wewe? Una uhakika kura yako wewe moja imeibiwa au ilimuwezesha mgombea wako kushinda?Kumbe safari bado ni ndefu kwa watanzania, hata wanaojua kusoma na kuandika! Kura ni uamuzi wa wananchi siyo mgombea. Katika hili anayenufaika ni mwananchi siyo aliyepigiwa kura!
Didn't you know when your parents were working at the Magogoni state house before their retirement and before you became US citizen ?!!!Tanzania is a police state.
Kwaiyo ulitaka wafanye makosa kisha waachiwe? Hakuna kitu kama hicho wataendelea kuwajibika Kwa makosa yaoToka masheiki wa uamsho washtakiwe kwa makosa ya ugaidi ni nini kimeshindikana kwa zaidi ya miaka saba kuhukumiwa na mahakama za sheria?
Huu ni uhakika kuwa kesi zao ni za kuba
First things firts, fix your sentence.D
Didn't you know when your parents were working at the Magogoni state house before their retirement and before you became US citizen ?!!!