Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wanevunja sheria gani?Hivi kwa mfano, ukawa umedhamiria kufanya kitu ambacho wakati mwingine (na si wakati wote), kinachukuliwa kuwa ni kinyume cha sheria, ikitokea ukashindwa kukitekeleza kwa sababu tu ya kuwekewa mazingira pingamizi, kisheria unakuwa huna hatia? Mfano ulidhamiria kwenda kuiba nyumbani kwa A, bahati mbaya ukakuta mazingira hayaruhusu, ukashidwa kuiba, je unakuwa huna hatia katika mazingira hayo, assuming umejulikana?..
Hujajibu swali.