Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Uchaguzi 2020 Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta

Kiukweli Wapinzani sio wazelendo Wanajua Anguko LA Tanzania ni Wao hii Nchii ikichafuka kama Libya hakuna atakaekuwana faida wapinzani watakuwa na Hasala pia, But why wanaona hiyo ndio njia bora...ivi wanawapigania Watanzania wepi Kama mwisho Wa Sikh mnaowapigiania wa
 
Mimi kazi yangu ni kupiga kura, kumpa mgombea. Yeye ana wajibu wa kuilinda na kuhakikisha inamnufaisha kwa kuongezea na za wengine.
Kumbe safari bado ni ndefu kwa watanzania, hata wanaojua kusoma na kuandika! Kura ni uamuzi wa wananchi siyo mgombea. Katika hili anayenufaika ni mwananchi siyo aliyepigiwa kura!
 
Eti ugaidi wa kulipua vituo vya mafuta ndio ugaidi wa mambosasa huo!
 
Kulikuwa na multiple voting na ballot pre-ticking za kutosha - kwa kura za Urais na ubunge pia. Fuatilia taarifa za Watazamaji wa kujitegemea
Mpendwa za kuambiwa changanya na za kwako nadhani huwajui hao watazamaji wakujitegemea ni kina nani wanaitwa Tanzania El watch(TEW) ni hao hao wanavuruga tweeter ni Maria na kundi la kama huyo anaejita Kigogo ni Propaganda ambazo CDM imekuwa inafanya badala ya kuunda taasisi na Harakati.

Kama ni kweli basi wasingechoma ushahidi ,pia kama ulienda kupiga kura nadhani uliona kadi waliandika wapi kama hawakuridhika wangeiomba tume wahesabu kitabu na idadi ya kura(walio piga) ili kujua walipata ngapi lakini hawakufanya hivyo wakachoma ushahidi.

Karatasi ya kura ilichanwa kilichobaki pale ndio ushahidi kuwa ulipiga kura kweli na huo ndio ushahidi wa kura halali kwa hiyo halima hakujua hivyo.

Mawakala katika vituo 80 na zaidi kweli unaamini Mbowe aliwalipa Mawakala wote hao utakuta hata hawakufika elfu 20 na kama waliweka wote basi hata chakula hawakula watakuwaje na integrity.
 
Maandamano ya amani ni haki ya kikatiba.
Ama nakosea?
Ni haki ndio ila notisi kwa jeshi la polisi kabla ya saa 48,ila wao hawajafanya hivyo kwa hiyo inakuwa kosa kisheria kulingana na uandaaji na mipango ya maandamano hayo kuwa na viashiria vya kudhuru/ mali na uhai wa watu ngoma inageuka na kuwa UGAIDI .

Ukipanga mipango kwa siri kuhusu kumtoa Raisi madarakani au kuchochea kwa namna yoyote ile kanuni ya adhabu ya katiba inatambua kuwa hilo ni kosa la UHAINI ,adhabu yake ni kifo.

Vijana wenzangu tuweni na akili Chadema inaweza kuwa ni hatari kama wanamgambo wa nchi zenye migogoro,angalia wanapenda kombati na ubabe na mgombea wao wakili wake ni Amstadam mwenye kusababisha machafuko nchi nyingi Africa .Angalia pia yule Bob Wine ni Kombati na wakili wake ni Amstadam jiulize hawa watu wanaupendo na nchii zetu hizi kila siku wameonewa wao kisa Maslahi yao yameguswa.
 
Shtaka sasa ni UGAIDI. Hii ni sawa na kutaka kuua mbu kwa kutumia AK47.
 
Kumbe safari bado ni ndefu kwa watanzania, hata wanaojua kusoma na kuandika! Kura ni uamuzi wa wananchi siyo mgombea. Katika hili anayenufaika ni mwananchi siyo aliyepigiwa kura!
Kwani ukipewa mshahara au malipo yako, anayenufaika ni nani, aliyekupa au wewe? Una uhakika kura yako wewe moja imeibiwa au ilimuwezesha mgombea wako kushinda?

Tatizo lililopo kulazimisha tuamini kuwa adui yako ni adui yangu. Na hata hao kina Zito wanajua hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu. Hadi sasa wameshindwa kunionyesha namna kura yangu ilivyoibiwa.
 
Toka masheiki wa uamsho washtakiwe kwa makosa ya ugaidi ni nini kimeshindikana kwa zaidi ya miaka saba kuhukumiwa na mahakama za sheria?
Huu ni uhakika kuwa kesi zao ni za kuba
Kwaiyo ulitaka wafanye makosa kisha waachiwe? Hakuna kitu kama hicho wataendelea kuwajibika Kwa makosa yao
Hata hivyo wamezoea kutoka toka nje sasa tumewatoa kabisa bungeni .
 
D

Didn't you know when your parents were working at the Magogoni state house before their retirement and before you became US citizen ?!!!
First things firts, fix your sentence.

Second, what has that got to do with the price of pork in China?

Or do you just feel the need to ride my dilsnick?
 
Back
Top Bottom