Member mwingine mpya! Mkakati wenu upo wazi. Sauti mlizojaza humu mitandaoni ni kuhadaa wananchi ambao kwanza mumewazimia mitandaoMnakera sana, kelele nyingi sana humu. Shida ni nini, si uende ukaandamane.
Sasa mtu timamu ataanzaje kufanya fujo ambazo anataka jambo lililokuwepo liondoke wakati halikupatikana kwa fujo ?Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbusha Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Ongezeni jitihada. Buku saba mnasaidiwa na TISS na jeshi. Mwisho wake lazima uwe mbaya kwasababu ni dhidi ya wananchi!We umetokea wapi? Unaota?
Hayo yametoka wapi?Ongezeni jitihada. Buku saba mnasaidiwa na TISS na jeshi. Mwisho wake lazima uwe mbaya kwasababu ni dhidi ya wananchi!
Baada ya kuwazimia wananchi mitandao, sasa mmejazana humu mkijidai eti nyie ndo wananchi! Bure kabisa nyie!Sasa mtu timamu ataanzaje kufanya fujo ambazo anataka jambo lililokuwepo liondoke wakati halikupatikana kwa fujo ?
Kanyaga twende mkuu! Way to go!Hayo yametoka wapi?
Je huo unaoitwa ushahidi ukikosekana Kamanda LM atarudi kutuelezea au atawasafishaje hao watuhumiwa? Napata mashaka sana huko tunakoelekea.UPDATE
View attachment 1617804
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Tia propaganda mkuu,lakini ukweli ni kuwa hakuna mtanzania mjinga wa kuandamana sasa hivi.Baada ya kuwazimia wananchi mitandao, sasa mmejazana humu mkijidai eti nyie ndo wananchi! Bure kabisa nyie!
Wewe uliuona uchaguzi tar 28? Tuache kuwa wanafiki. Demokrasia nchi hii imeshafutika angalau kidogo labda tokea uchaguzi wa 2015 labda lkn mwaka huu ni aibu sana. Kama unanufaika na yanayofanyika nchinu kwasasa nakutakia kila la kheri nyie ndio mmeshika makali. Nchi yenu hii fanyeni mtakavyo.Ukishajua nini maana ya Demokrasia hutaongea ,wale wanapigania Maslahi yao.
Demokrasia sio lazima Wapinzani washinde elewa hivyo ,Democracy is
a system of government by the whole population or all the eligible members of a state, typically through elected representatives.
Kama ni serikali iliyowekwa na watu kwa njia ya kufanya uchaguzi basi ni halali ,ila ingetokea kujiweka bila sanduku la kura ingekuwa ni ya kidikteta sasa tumepiga kura kashinda hata kama kuna kasoro sawa hizo huwa zipo Tume inaweza kuahidi kuzitatua na mchezo ukaisha.Demokrasia sio Mbowe kwenda bungeni na kwa taarifa tu mgombea wao alieshinda kule Nkasi Kaskazini kakubali kuingia bungeni sasa hiyo ndio Demokrasia sio akina Lissu wanayotuambia ya kuandamana bila kibali cha polisi.
Huyo kigogo sijui kawapaga nn vijanaKigogo aliyasema haya na yamejiri
Mkuu 47 Mbatizaji, kwa kiasi kikubwa Judiciary hapa Tanzania ime- compromise! Maelekezo toka juu ndo hufanyiwa kazi kwa sasa, mfano Freeman Mbowe na wenzake wakipelekwa Mahakamani na Mahakama ikaelekezwa kwamba iwatie hatiani kwa kosa la Ugaidi. Mahakama itatekeleza agizo la kuwakuta na hatia hiyo.Wana wa Mungu na selikari kwa ujumla kua makini na Jambo hili, nakiri mamla ni kazi yenu ila la mh mbowe linaitaji umakin mkubwa,huyu sio mtu mdogo kwenye jamii
Hata ivyo niwaombe wanasheria humu kutupa ufafanuzi wa neno ugaidi,ni wakati gani mtu huitwa gaidi, mbowe amefanya siasa mda mwingi amevumilia mengi ,ila la ugaidi mbona Kama jamani Wana wa mungu mmempa neno kubwa
Basi afikishwe mahakamani ili aweze jitetea na kutetewa
Hatimaye na yeye wamemtia nyavuni, hakika serikali ya magufuli inazidi kuonesha uzalendo wake na mapenzi ya dhati kwa watanzania.Sasa ndo wakamatwe na kuwekwa ndani?
Halafu mbona Lissu yeye hajakamatwa?
Au yeye wanamwogopa sasa hivi?
Kweli ni magaidi kama walijarUPDATE
View attachment 1617804
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Kweli ni magaidi hao kama waliojaribu kumuua Tundu Lissu kwa risasi 40 hadharani, subirini na hilo tukio kuna mtu atawapa ushahidi. Politically motivated arrests n chargesUPDATE
View attachment 1617804
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Nini kifanyike mkuu, naumia Sana kuyaona haya ,ni kweli yapo mengi yapo moyoni wangu Wala siwezi andika hapa, najua, nimeliombea taifa hili kwa kufunga na si kwa maamuzi yangu, majibu niliipata ila kwa kuambiwa nitafute mti mrefu kuliko yote tz nipige magoti ,tafasili hii sikuilewa nikamfuata mzee mmoja kumhuliza akaniambia mti mrefu ni mti gani nae hakujua, Sasa tangu nimemaliza maombi ilikua Kama wiki mbili kabla ya uchaguzi mpaka tafasili ya mti mrefu kuliko yote nimeshindwa kujua ni wapiMkuu 47 Mbatizaji, kwa kiasi kikubwa Judiciary hapa Tanzania ime- compromise! Maelekezo toka juu ndo hufanyiwa kazi kwa sasa, mfano Freeman Mbowe na wenzake wakipelekwa Mahakamani na Mahakama ikaelekezwa kwamba iwatie hatiani kwa kosa la Ugaidi. Mahakama itatekeleza agizo la kuwakuta na hatia hiyo.
Yani kigogo kateka mpaka madingi huwaambii kitu kila kitu ukiongea utasikia ,kigogo kasema kifupi wanamwamini kuliko hata Miungu.Huyo kigogo sijui kawapaga nn vijana
Kwenye intelligence, kuna makosa mengine ambayo ni vigumu kuruhusu yatokee. Kwa mfano kama intelligence inaonyesha kuwa Kichuguu anapanga mipango ya kumuua Nyani Ngabu, huwezu kusubiri Nyani Nagabu auwawe kwanza ndipo umkamate Kichuguu; unatakiwa umakamte Kichuguu kabla hajatekeleza mipango ya uhalifu wake.Wangeachwa waandamane.
Na kama wakifanya vurugu, basi na wakamatwe.
Huwezi kumkamata raia kwa kosa ambalo hajafanya au kosa ambalo wewe unadhani atalifanya.
Unamkamata mtu kwa kosa ambalo kalifanya.
Si vinginevyo.