mwakirobert1
Senior Member
- Sep 21, 2020
- 160
- 76
Ni huruma kuwa Na kijana kama wew halafubkichwa chako kimejaapumba na upuuzi mtupu .🚮🚮🚮Mambosasa ni Futuhi ya Polisi. Si unakumbuka Futuhi ya Mo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huruma kuwa Na kijana kama wew halafubkichwa chako kimejaapumba na upuuzi mtupu .🚮🚮🚮Mambosasa ni Futuhi ya Polisi. Si unakumbuka Futuhi ya Mo?
Jeshi la polisi au investigator yoyote ataitreat habari yoyote kama kweli mpaka atakapojiridhisha pasipo shaka kuwa habari ile si kweli.Kupanga kuchoma vituo ni maneno ya kutunga au tuseme ni ule mwendelezo wa kesi bambikizi.
Tulifikiri kuwa Tanzania ingejirudi na kuacha kubambikiza watu kesi ila sasa jawabu la mambo gaya ni kwamba Serikali imejipanga kutumia mabavu maradufu ya yaliyoyarumia huko nyuma ili kulinda maovu yake.
Hebu fikiria polisi anasema et kuna mty katuambia wamepanga kuchoma vituo. Sasa kumbe hizi ni gabari za kuambiwa?
Na kama ni mtu kama Gwajima amewaambia ukweli wa ushuhuda wake una uhalali kiasi gani?
Hivi sasa Libya ipoje?Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbusha Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
How sure are you kwamba hizo kesi wamwbambikiziwa ?Kupanga kuchoma vituo ni maneno ya kutunga au tuseme ni ule mwendelezo wa kesi bambikizi.
Tulifikiri kuwa Tanzania ingejirudi na kuacha kubambikiza watu kesi ila sasa jawabu la mambo gaya ni kwamba Serikali imejipanga kutumia mabavu maradufu ya yaliyoyarumia huko nyuma ili kulinda maovu yake.
Hebu fikiria polisi anasema et kuna mty katuambia wamepanga kuchoma vituo. Sasa kumbe hizi ni gabari za kuambiwa?
Na kama ni mtu kama Gwajima amewaambia ukweli wa ushuhuda wake una uhalali kiasi gani?
Hamieni Libya.chadema acheni wananchi wapuuzi wa nchi hii waisome namba, mnajitoa kwa ajili yao ila hakuna support yeyote. kiufupi huwezi kumpigania mtumwa ambaye aliyozea utumwani.
Ni wapuuzi pekee watakaoenda kuandamana na kutetea ugali wa MTU ambae hata akiwa hospital hata kuwa msaada.Mambosasa yupo live ITV usiku huu akisema amewakamata Mbowe, Lema na Jacob kwa kuhamasisha maandamano.
Hii haitarudisha nyuma morali wa waandamanaji.
----
Wangeacha waandamane kuondoa ghadhabu.. au wanataka yale ya MKIRU?!UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Hao ✌wanafanya haya yote Kwa maslahi yao wenyewe na hasa ni kwakuwa wamekosa ubunge mana kama wangepata wasinge Fanya yote haya.chadema acheni wananchi wapuuzi wa nchi hii waisome namba, mnajitoa kwa ajili yao ila hakuna support yeyote. kiufupi huwezi kumpigania mtumwa ambaye aliyozea utumwani.
Eti vijana wavuta bangi! Imenikumbusha Gaddafi ndivyo alivyokuwa akisema wakati Libya inaanza kuanguka! Alisema ni vijana wamepewa madawa ya kulevya wafanye fujo na maandamano!
Mungu aliumba watu wamtumikie, serikali zinaumba magaidi zipambane nao!UPDATE
"Mbowe na wenzake watashtakiwa kwa makosa ya ugaidi kwa sababu kuna mtu ametupa ushahidi kuwa walipanga kulipua vituo vya mafuta jijini Dar na kuleta maafa makubwa," Lazaro Mambosasasa, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM.
=====
Kamanda wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam ACP Lazaro Mambosasa amesema wanawashikilia watu kadhaa wakiwemo viongozi watatu wa CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA wanaowashikilia ni pamoja na Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Godbless Lema na Boniface Jacob.
Amesema wanawashikilia viongozi hao kwa kuwa wanahatarisha usalama wa Raia na mali zao kwa kuwa Novemba 2 walipanga kuwatumia vijana kuchoma moto miundominu na vituo vya mafuta.
Aidha kwa usiku huu wanaendelea kuwatafuta watu ambao wanawashawishi vijana kushiriki maandamano ambayo Polisi wamesema ni ya Vurugu na si amani kwa kuwa wanaoshawishiwa ni vijana wavuta bangi.
Amesema hayo katika kipindi mubashara kilichorushwa na ITV.
PIA SOMA
= > Uchaguzi 2020 - Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano
Toka masheiki wa uamsho washtakiwe kwa makosa ya ugaidi ni nini kimeshindikana kwa zaidi ya miaka saba kuhukumiwa na mahakama za sheria?How sure are you kwamba hizo kesi wamwbambikiziwa ?
Tatizo mnachati sana.Mambosasa yupo live ITV usiku huu akisema amewakamata Mbowe, Lema na Jacob kwa kuhamasisha maandamano.
Hii haitarudisha nyuma morali wa waandamanaji.
----
Mwambie mimi ninayo ila kwa leo nimeisahua nyumbani, nitamletea kesho.Mkuu sina hiyo sheria kwa sasa lakini hiyo sheria ipo hata wewe unaweza kuitafuta. Hizo sheria zipo nchi zote duniani zinatumika.