Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ndugu zake musiba na waitara wao ndo usema watapotezwa, wapotezwe,mnamalizana gizani Kwa ushahidi wa sauti na video YouTubeKwani "wasiojulikana" ni kina nani?
Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.Fimbo ya "uraia" naona inatumika tena kwa wanaokosoa serikali
Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.
Nina shaka sana kama waandishi wa kibongo wameuliza hili.
Ingawa hata wao wamo katika hatari ya kushukiwa "uraia" siku yoyote.
Eti na huyu naye ni polisi!!! funnyMambosasa anaingizwa mjini kuelezea vitu asivyovijua! Ana mambo ya kizamani sana!
Hawa waliopewa mamlaka haya wakipelekwa nchi kama USA na mamlaka pamoja na katiba yao sidhani kama angebaki raia pale!!!Fimbo ya "uraia" naona inatumika tena kwa wanaokosoa serikali