Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huyu kamanda mambosasa ana elimu level gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani waandiahi wa habari watakua ni vilaza kama wasipoomba kuoneshwa copy ya barua ya wito huo...watakua ni vilaza wa mwaka...
waliosoma nae au wanaofahamu file ya huyu kamanda atueleze, manake wanatufanya tuonekane wapumbavuHuyu kamanda mambosasa ana elimu level gani?
Aliposema wanaulizia uraia wake tu nikachoka kabisa. Mada ikaishia hapo hapo.Hii inadhihirisha kuwa watanzania ni vilaza,mtu akiwa anaandika habari za uchunguzi lazima wahoji uraia wake maana watanzania kazi yao ni kuandika habari za mara zari sijui Tanasha sijui Diamond. Hongera Eric wewe ni kipanga si mchezo kuandika nakala kwenye gazeti la The Economist.
Hii inadhihirisha kuwa watanzania ni vilaza,mtu akiwa anaandika habari za uchunguzi lazima wahoji uraia wake maana watanzania kazi yao ni kuandika habari za mara zari sijui Tanasha sijui Diamond. Hongera Eric wewe ni kipanga si mchezo kuandika nakala kwenye gazeti la The Economist.
Aliposema wanaulizia uraia wake tu nikachoka kabisa. Mada ikaishia hapo hapo.Hii inadhihirisha kuwa watanzania ni vilaza,mtu akiwa anaandika habari za uchunguzi lazima wahoji uraia wake maana watanzania kazi yao ni kuandika habari za mara zari sijui Tanasha sijui Diamond. Hongera Eric wewe ni kipanga si mchezo kuandika nakala kwenye gazeti la The Economist.
Huyu labda ni msomali kama yule sheba.Mrundi au Mnyarwanda ?
Alikuwa mngoni nini?NI fimbo ya hovyo sana hiyo, Chiluba alijaribu kuitumia hadi kwa raisi mstaafu wa nchi hiyo Mzee Kaunda kwa kumuita eti ni Mmalawi, lakini kilichomtokea yeye mwenyewe Chiluba baada ya kutoka madarakani ni somo kwa viongozi wote wa Afrika
Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.
Nina shaka sana kama waandishi wa kibongo wameuliza hili.
Ingawa hata wao wamo katika hatari ya kushukiwa "uraia" siku yoyote.