Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Kuna mmoja alikuwepo mtangazaji wa Rwanda aliitwa Kabendera Shinani. Nadhani hilo jina limemletea kizaazaa!Mrundi au Mnyarwanda ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja alikuwepo mtangazaji wa Rwanda aliitwa Kabendera Shinani. Nadhani hilo jina limemletea kizaazaa!Mrundi au Mnyarwanda ?
Yule ni baba yake nasikia. Nimegoogle. Huyo baba alijirusha lake Victoria baada ya kuambiwa sio raia. Alipiga kura uchaguzi 2000.Alishitakiwa akaishia kujiua.Kuna mmoja alikuwepo mtangazaji wa Rwanda aliitwa Kabendera Shinani. Nadhani hilo jina limemletea kizaazaa!
Kwa sababu ya jinaHuyu mshkaj kabla nilimtilia mashaka, time will tell...
Ehe Ehe weweMie nilivyo na chuki nao..ningeenda na petrol kituon..yaan unaamua kufa tu..shebzy zao
Majitu yamefungwa sana midomo..watu wamegeuka kuwa na hofu tu..kwakwel mie navyojijua mfano ndo mume wangu anakamatwa kiwehu wehu hvyo...hahaa ntauza gazeti zao..!
Mie nilivyo na chuki nao..ningeenda na petrol kituon..yaan unaamua kufa tu..shebzy zao
NINGEELEWA ukisemacho a hali ya hewa inayochafuliwa na Bwana Musiba ingekuwa handled the same way....Nimefuatilia sana Suala la Kabendera, nimegundua yale magazeti yanayosomwa sana na Pascal Mayalla yanayoitwa The Economist ambayo huchafua sna hali ya hewa, huandikwa na Kabendera kwa stori za Tanzania
Rweikiza, rwekaza, tibaigana, ntibaile, etcKuna mmoja alikuwepo mtangazaji wa Rwanda aliitwa Kabendera Shinani. Nadhani hilo jina limemletea kizaazaa!
Nchi hii hata ukiwa na uraia pacha hata kama uliwahi kuwa ngazi ya juu siku ukisigana nao UTAHOJIWA URAIA TU!!!
Wakaazi wa Ujiji ambapo watu na mababu wa babu zao walizaliwa na kuzikwa hapo WANALIJUA VEMA HILO MAANA WALIPELEKWA KONGO WASIKOKUJUA WALA KUTAMBULIKA KWA NGUVU... KISA KUCHAGUA KISICHO CHAMA CHAO!!!
MWISHO WA SIKU WALIREJESHWA KIMYAKIMYA!!!
TUNAJENGA NCHI TUKIIMARISHA UPENDO NA AMANI!
Kungekuwa na uraia pacha wangesema ndiyo mimi ni mcongoman na pia ni mtanzania.
Na alietoa order ya kublock mawasiliano ni nan? Kama ni uraia tu kwann wa block mawasiliano?