Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

Kamanda Mambosasa: Mwandishi Erick Kabendera anahojiwa uraia wake

Acha kujitoa akili, leo kwake kesho kwako hata kwa ndugu yako. Tutumie vichwa kufikiria kwa makini.
Kwanza karibu JF, naona umeingia juzi tu. Sijajitoa akili. Hawa watu tunao mitaani na kuna athari zake. Mwaka jana alikufa jirani yangu tulikua tunamjua ni Muha, wakaja ndugu zake wakachukua maiti kwenda Rwanda kuzika.
 
Nimejiuliza, mpaka mtu ashukiwe "uraia" kuna vigezo gani vinaangaliwa? Maana wengine tusiojua breki ya mdomo tunaweza kuunganishwa humo kama hakuna misingi ya kueleweka.

Nina shaka sana kama waandishi wa kibongo wameuliza hili.

Ingawa hata wao wamo katika hatari ya kushukiwa "uraia" siku yoyote.
Ukitaka kuwa salama in this fifth phase government especially for politicians and journalists, epuka kumkosoa malaika mtakatifu wa Chato, or else you'll go missing.
Sema tu huamini uwepo wa Mungu, ungekuwa unaamini uwepo wake, hili jitu katili lilitabiriwa kuitawala Tanzania, kabla ya 2015.
 
90% waliomo humu hawajui kiingereza, ni vyema ukacomment kwa lugha yako i mean "swahili language" every body atakuelewa,,,english waachie wenye lugha yao.
Pia alikiri kupitia mafunzo Jkt huko Mafinga mwaka 2006 na kujitolea kwa mujibu wa sheria katika kambi hiyo.

KUNA UKAKASI KIDOGO KWENYE HII TAARIFA.

Mtuhumiwa ana umri wa miaka 23 na alihudhuria mafunzo ya jeshi la kujenga taifa mwaka 2006!!
How?
Yaani mtoto wa miaka 10 au 11 anawezaje kuhudhuria mafunzo ya JKT.

Naamini itakuwa ni 2016.

Pia taarifa inasema alihudhuria mafunzo kwa kujitolea na kwa mujibu wa sheria.

Ndani ya mwaka mmoja wa recruitment ya JKT mtu mmoja hawezi kuhudhuria mafunzo ya kujitolea na kwa mujibu wa sheria.
 
Ukitaka kuwa salama in this fifth phase government especially for politicians and journalists, epuka kumkosoa malaika mtakatifu wa Chato, or else you'll go missing.
Sema tu huamini uwepo wa Mungu, ungekuwa unaamini uwepo wake, hili jitu katili lilitabiriwa kuitawala Tanzania, kabla ya 2015.
Majitu kama haya kuweza kupata utawala ni dalili kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo, asingeruhusu viongozi wasiofuata haki popote pale.
 
Mambo Sasa atakuja kulamba haya matapishi yake.
Unamkata mtu kimafya eti kwa kosa la uraia wake.
Halafu unampeleka mahakamani kumshtaki kwa kosa la matumizi mabaya ya mtandao.
Yaani hii nchi inatia kichefuchefu
 
Back
Top Bottom