Inaonekana hafahamu anatakiwa kusimamia Haki kwa Usawa kwa Raia na Mali zao.Kura ni Mali ya Umma na tutazilinda kwa Amani na kwa Wivu mkubwa,tunakuomba IGP usitutoe kwenye reli.Tutapenda kudumisha Amani ndani ya Vituo vya kupigia na kuhesabia kura,tunao uzoefu wa matukio ya kura kuibwa na hatudanganyiki kwamba eti Polisi wapo Neutral?tukio la ujambazi likitokea Sirro na wenzake wanasema wananchi washiriki kusaidia polisi ila kwenye kura anazuga anatukataa tusitoe ushirikiano.
Kwa sababu wewe ndio shoga yake mkuu na yule Frankenstein wenu.Utakuwa mwanachama pendwa wa LGBTI...umejuaje Amsterdam shoga?
Sasa Siro ameshawaambia sio kazi yenu.. mbona mnakua viazi ivi ? wapi umeeona wananchi wanapiga kura halafu wanazilinda, kuna haja gani kuweka mawakala sasa ? mda mwingine muwe mnatumia akili japo ya kuvukia barabara tu inatosha.Kulindwa kwa kura au kubakia salama kwa kura kunakugugusa negatively mkuu?
Kwa hakika kama wewe ni mnufaika vipi utake utaratibu mwingine unaoweza kukuumbua?
View attachment 1542694
Ndiyo mafisi mnataka kujimilikisha kazi ya kulinda mabucha?
Sasa Siro ameshawaambia sio kazi yenu.. mbona mnakua viazi ivi ? wapi umeeona wananchi wanapiga kura halafu wanazilinda, kuna haja gani kuweka mawakala sasa ? mda mwingine muwe mnatumia akili japo ya kuvukia barabara tu inatosha.
Kwanini niwachilie mbali mawakala ? nadhani sheria za uchaguzi zinawatambua mawakala kama washirika wakuu na ni watu pekee wanaowakilisha vyama vyao, ikiwa kuna suala la maslahi ya vyama nadhani ni issue inayohitaji mjadala mpana , na linaweza kuzingatiwa ilo ili litambulike kisheria, but meantime Siro yupo sawa na wewe unatakiwa usiwashwe washwe wacha mamlaka husika zifanye kazi zake.Kwa utaratibu anaosema Sirro ulinzi wa kura ni wa polisi (yaani dola) pekee.
Umeona hapa:
View attachment 1542788
Ya Sugu Mbeya nayo uliyaona?
Wapi hata kuna rejea inayohusisha wakala? Achilia mbali mawakala. Kwanini suala la kutohujumiwa kwa kura lisiwe ni suala la maslahi kwa vyama na hata wagombea wote?
Kama yote huyaoni, mwenye akili za kuvukia barabara peke yake ni wewe mkuu.
Huo uchakachuaji ndio utakaoleta maafa nchini. Sirro akumbuke kuwa kauli anazozitoa zinawekwa kwenye kumbukumbu kama ushahidi mara zitakapohitajika.Ninanusa harufu ya uchakachuaji hapa
Ulinzi shirikishi!Anaandaa mazingira ya WIZI WA KURA.
Kwanini niwachilie mbali mawakala ? nadhani sheria za uchaguzi zinawatambua mawakala kama washirika wakuu na ni watu pekee wanaowakilisha vyama vyao, ikiwa kuna suala la maslahi ya vyama nadhani ni issue inayohitaji mjadala mpana , na linaweza kuzingatiwa ilo ili litambulike kisheria, but meantime Siro yupo sawa na wewe unatakiwa usiwashwe washwe wacha mamlaka husika zifanye kazi zake.
Mbona hujaenda kulinda bank?
Kwa akili yako ya kukalia unadhani ulinzi wa kura unahitaji ushirikishi? Kama unataka ulinzi shirikishi kalinde mtaani kwako, kenge wewezile taarifa wanazotakaga kutoka kwa wananchi ni za nini??
ulinzi shirikishi unajua maana yake?? kwa nini walianzisha ulinzi shirikishi??
uelewa wako ni wa chini kuliko ukoka!
Kuna sheria za kwenye karatasi hizo wote tunazifata na kuziheshimu ijapokuwa kuna wakati zinapuuzwa na wachache ili kufanya watawaliwa watawalike.Kuna sheria inayowakataza?
Ebu tuelimishane kwa wanaojua sheria.
Mimi najua kama jambo sheria haijakataza kulifanya, ukifanya huwezi kuhesabiwa umetenda kosa mpaka hapo sheria ya kulikataza itakapotungwa.
Kuna tume inayohakikisha watawala waliopo ni watawala sahihi na polisi kazi yao ni kuhakikisha tume inafanya kazi yake bila vurugu. Kuwaachia wananchi bila udhibiti si salama sana kiutawala.Huoni umuhimu wa washindani kujiridhisha wenyewe kushinda au kushindwa kwenye kinyang'anyiro chochote?
Haiyumkiniki utakuwa mnufaika katika hali fyongo iliyopo.
kwenye kutawaliwa hakuhitaji kuaminika. Suala hapa ni kutawaliwa mambo ya watawaliwa kuamini au kutokuamini hayo hayana madhara ilimradi tu wanasikiliza wanachoambiwa, na sasa hivi wanaambiwa wasilinde kura, wapige warudi nyumbani kusubiri taarifa.Ni hivi, kuanzia kamanda Sirro mpaka waliochini yake hatuwaamini. Yeye alinde kwakuwa ni wajibu wake kisheria, lakini sio kwamba analinda kwakuwa anaaminika. Kama Magufuli mwenyewe hatumuamini ndio itakuwa kamanda Sirro?
Kuna tume inayohakikisha watawala waliopo ni watawala sahihi na polisi kazi yao ni kuhakikisha tume inafanya kazi yake bila vurugu. Kuwaachia wananchi bila udhibiti si salama sana kiutawala.
Huu msemo ni applicable pale tu watawaliwa wanapoacha kutii. Mpaka sasa hauna uhalisia maana utii upo.Mkuu unaturudisha nyuma. Wenzio tulishafika huku. Labda kama unataka kuzuia mafuriko kwa mikono:
Wito: Chonde chonde, Tanzania ni zaidi mno ya yeyote