Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia, Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'

🚨 BREAKING: IRAN CLEARS AIRSPACE AFTER ISRAELI STRIKE

Iran has promised an intense and brutal response to any attack on Iranian soil by Israel.

Tonight, multiple reports and U.S. officials have confirmed that the IDF has hit a site inside of Iran.

Moments later, Iran cleared the entire airspace and redirected all planes away from missile launch sites, likely in preparation to launch a response.

Source: Faytuk News
 
Bila kushambulia hivyo vinu vya nyuklia baada ya miaka 5 mbele Iran itakuwa na nyuklia bomba. Miaka ya 1945 USA waliweka Mbinyo kubwa Rusia asiweze kumiliki nuclear walishtuka kitu kinatestiwa kwa ufanisi wa hali ya juu, North Korea hivo hivi, hata Iran hakuna wa kumzuia, Rusia, North Korea, China wanaweza kutoa wataalamu na kila kitu kwa Iran na bomu kukamilika.
Commander of the Iranian Ground Forces on Israel attack: We were able to confront very small drones.

Small drones attacked our airspace in the city of Isfahan, and our air defenses responded to them.

Our experts are currently conducting an assessment of the Isfahan incident and will announce its results later.
 
Mkuu mayahudi unataka wamtukane Yesu kwa kiwango kipi tena zaidi ya waliposema Yesu ni mwana wa haramu? Mayahudi (Judaysim) hawaamini kwenye Yesu na ndio maana leo mayahudi wanawatemea mate wakiristo, on top of that hii vita inayoendelea muda huu wakiristo kibao tayari wameshauliwa vijiji mbali mbali kule Palastine ni hao Israel.

Kama wewe ni mikiristo sijui unapata wapi nguvu ya kuutukana uislamu na kuukashifu hapa mtandaoni na kuwatukuza Mayahudi ambao hata wewe dini yako wanaitemea mate. Israel walipopewa uhuru wa bandia ni Magharibi na US 1948 wazungu walieneza propaganda ulimwengu mzima kuwambia wakiristo kwamba Mayahudi ni wenzao wanafuata na kuamini ukiristo wakawa wanawasomea mistari ya kwenye bibilia kwamba Israel ni taifa la mungu ambapo mpaka leo baadhi ya wakiristo wanaamini hivyo lakini ukweli ni kwamba Mayahudi wana dini yao mbali initwa Juudaism tofauti na ukiristo.

Sio vyema kuja hapa na kutukana uislamu., Pata muda upitie History ya hili taifa jipya liloanzishwa na wazungu (Israel) na ufahamu kwanini lilianzishwa hili taifa usije hapa na matusi, Mayahudi wanauchukia zaidi Ukiristo kama wanavyouchukia uislamu.
Hapo kwenye bold umeonesha upendeleo wa wazi. Ukweli na haki ni kwamba WAYAHUDI wanauchukia zaidi Ukristo kuliko Uislamu na wanawachukia zaidi wakristo kuliko Waislamu. Ndo wametunga hadi Sheria ya kupiga marufuku kuhubiri Ukristo mitaani wakati Uislamu ukihubiriwa bila shida.
 
Hapo kwenye bold umeonesha upendeleo wa wazi. Ukweli na haki ni kwamba WAYAHUDI wanauchukia zaidi Ukristo kuliko Uislamu na wanawachukia zaidi wakristo kuliko Waislamu. Ndo wametunga hadi Sheria ya kupiga marufuku kuhubiri Ukristo mitaani wakati Uislamu ukihubiriwa bila shida.
Nimesema Mayahudi chuki walizonazo dhidi ya Wislamu ni sawa sawa na chuki walizonazo kwa Wakiristo,

Wakiristo wanaona kama wanapendwa ni mayahudi lakini sio kweli kama ambavyo waislamu wanapigwa mabomu ndivyo ambavyo wakiristo wanapigwa mabomu ni hao mazayuni.

Hapa JF Wakiristo wengi nimefanya research wana support Israel kuwauwa waislamu wa palestine wanafikiria Mayahudi ni wakiristo wenzao kumbe ni tofauti sana. Wakiristo tele washauliwa sema wakiristo kwenye ardhi ya palestina ni wachache sana na huko israel pia wakiristo ni wakutafuta.
 
Maadam Serikalu ya Iran ni ya Kitheocracy ( yaani ambapo katiba yake na sheria ni Quran) serikali hiyo lazima itaanguka, ili kupisha serikali ambayo ni neutral, iwe ni kuangushwa na Israel au wananchi wa Iran. Tunza maneno yangu.
Mkuu umekula kweli wewe??? Naona unapayuka tu...
 
Back
Top Bottom