TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Taarifa.
Mwili utachukuliwa Muhimbili Mortuary siku ya Alhamis 17 September 2020 na kupelekwa kilwa Road kwa ajili ya kuagwa.
Baada ya utapekekwa kwa Dr. Musika Mbweni na kulala uko.

Siku ya Ijumaa wataanza safari kuelekea Ikizu Bunda watafika Dodoma majira ya Mchana saa Saba na utafikia nyumbani kwake watakaa kwa Nusu saa yaani saa 7:30 Mchana wataondoka nyumbani kwake Dodoma Ipagala kuelekea Kanisani Dodoma Kati watafika saa 8:00 Mchana. Kanisani kutakuwa na Chakula kwa Wageni na waombolezaji ; itafanyika Ibada fupi; Salamu za Kijeshi na kuaga mwili watu Wote.

Saa Kumi na Moja Jioni wataanza safari kutoka Dodoma Baada ya mapumziko kwenda Kijijini Ikizu mission . Wanatarajia kufika Bunda Asubuhi na watashinda Kwa Mama yake pale CCM Bunda Mjini na Jioni siku hiyo ya Jumamosi wataondoka na kwenda Ikizu Mission kwa Mzee Samwel Musika Waryoba Kaka yake na Marehemu Baba yake aliye mlea Shana.

Asubuhi Jumapili mwili utaondoka kwa Mzee Samwel kwenda kwa Kaka yake Shana Bukama Ikizu Mission ( Ikizu Secondary).

MAZISHI YA MPENDWA WETU SHANA NI JUMAPILI

IMG-20200916-WA0008.jpg
 
Jamani huyu kamanda amefariki lini Mungu wangu, halafu hiyo safari na mizunguko yote hiyo daa pole kwa wasafirishaji mpaka muda wakuzika machozi yamekauka,

R.I.P kamanda
 
Haya boss wangu....aliugua? Ubeche upo? Vinywaji je? Maana kama wanazika bunda mie Leo Niko Singita hapa naona sio mbali..tukapige k vant usiku mzima😀😀! Karibu Singita boss😔

Haha sina habari zozote za msibani wala chanzo cha msiba mkuu.

Sema daah 😋😋 hilo bata la singita nimelielewa Sana boss wangu.

Kwanza kulikoni bata kama hilo kipindi hiki cha vita ya kampeni mkuu au na wewe Kama "kachero mbobezi" BM upo mapumziko 😂😂

Let's meet a the top, cheers 🍻
 
DAH! RIP KAMANDA SHANNA ALIKUWA ANANIFURAHISHA SANA NA TAARIFA ALIZOKUWA ANATOA KWA WAANDISHI WA HABARI UTAMSIKIA AKISEMA "KILE KIKOSI KABAMBE NA MAHIRI CHA POLISI KILIPAMBANA NA MAJAMBAZI KWA MUDA WA SAA 2. UKIBANDUA SISI TUNABANDIKA,UKIBEEP SISI TUNAKUPIGIA.TUTAWASAKA UVUNGU KWA UVUNGU.NI BAADHI YA MISEMO YA MAREHEMU ACP JONATHAN SHANNA.
 
Eti kipindi Cha Vita ya kampeni😀😀! Dah BM anazeeka daily
 
DAH! RIP KAMANDA SHANNA ALIKUWA ANANIFURAHISHA SANA NA TAARIFA ALIZOKUWA ANATOA KWA WAANDISHI WA HABARI UTAMSIKIA AKISEMA "KILE KIKOSI KABAMBE NA MAHIRI CHA POLISI KILIPAMBANA NA MAJAMBAZI KWA MUDA WA SAA 2. UKIBANDUA SISI TUNABANDIKA,UKIBEEP SISI TUNAKUPIGIA.TUTAWASAKA UVUNGU KWA UVUNGU.NI BAADHI YA MISEMO YA MAREHEMU ACP JONATHAN SHANNA.

Ndo ukamzike
 
Sikuwahi kufikiria kwamba Shana alikuwa Msabato, asante kwa taarifa.
Lakini tabia zake zilikuwa za kipagani zaidi kwa ubaguzi aliokuwa anaonesha kwa wasio wanaCCM wenzie. Alitenda tofauti na imani ya kisabato inayotaka kutenda kwa usawa bila ubaguzi na kumtanguliza Kristo. Alikuwa mbinafsi kwa kujali zaidi maslahi yake ya kuwa RPC. Hata alipoonywa na bosi wake IGP kuhusu tabia ya ubaguzi iliyokwenda tofauti na maadili ya kazi yake, hakuacha na kesho yake alifanya kubwa zaidi ya Jana.
Kesho tutaona CCM watakavyojazana kwa unafiki kwenye msiba wake wakati wiki iliyopita tu kulikuwa na msiba wa Aden Mwamnyange hawakuonekana.
 
Back
Top Bottom