Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

Naamini Mungu amempa nafasi nyingine ili asirudie hata matusi
 
WHY ARUSHA KISHA MSITUNI KATAVI? hiyo ilikuwa kupelekwa kwa bana Kuba akatoe adhabu kisha kutupwa mbali Katavi ili kupoteza ushahidi.
Ila Mungu aliye hai anaona kila kitu
 
WHY ARUSHA KISHA MSITUNI KATAVI? hiyo ilikuwa kupelekwa kwa bana Kuba akatoe adhabu kisha kutupwa mbali Katavi ili kupoteza ushahidi.
Ila Mungu aliye hai anaona kila kitu
Labda lengo lao lilikuwa ni Tarangire Ngorongoro au Serengeti.
 
Huko X wakosoaji wengi wako hatarini, humu kwenyewe watu wawe makini hamko safe km mnavyofikiria.
Nikweli maana machapisho yote kuhusu Sakata la Sukari na Mpina, hayaruki hewani humu
 
Sheria zipo, angefuatiliwa akamatwe aburuzwe mahakamani ushahidi uwekwe mezani apigwe miaka yake jela.
Hata hili nalo ni somo tosha naamini hatorudia tena.

Kabla Twitter haijawa (X) hate speech ilikuwa inakataliwa. Ukitoa hate speech na ukawa reported walikuwa wana ku "ban".

Ila alipokuja Elon Musk watu wanajiachia tu kila kitu mpaka picha za ngono.
 
You foolish, Idiot what are you cheering about!
 
Mambo ya kujidai keyboard warrior sio jmn
 
Bashite ndiye bosi wa kundi la wasiojulikana hivyo walienda Arusha kumuonyeha kuwa kazi uliyotutuma hii hapa naye akatoa maelekezo wamuue kisha wakamtupe katavi aliwe na wanyama kupoteza ushahidi.
Unaonyesha unajua scenario nzima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…