Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

Haya ni matokeo ya viongozi wa kisiasa kuingia madarakani kwa wizi wa kura. Kimsingi polisi huwa ni machineries za dola hivyo iwapo viongozi waliopo madarakani hawapo kihalali, lazima mateso haya yawapate wananchi kwasababu wananchi wanalazimishwa kutawaliwa kwa nguvu
 
Imbecile what are you insinuating? Sativa got paid for what he was after!! Insults are not tolerable same as violence
Your limited intellectual capacity is the reason you fail to recognize the harm in someone being abducted. This can happen to anyone, even your own mother. Intelligent people unite to condemn such cruelty rather than supporting it. You are very unfortunate to lack discernment.
 
HOJA NA ZIJIBIWE KWA HOJA,
NA SIO UTEKAJI.
 
Simple advice : Fanya mazoezi mengi ya kupambana na Chatu kwanza kabla hujaanza
 
HOJA NA ZIJIBIWE KWA HOJA,
NA SIO UTEKAJI.
Kwa sasa wanachoweza ni kuteka na kupoteza yeyote anaekosoa wizi na ufisadi wao
Mwenyekiti wa uvccm kagera Faris Buruhan alishasema.
 
Imbecile what are you insinuating? Sativa got paid for what he was after!! Insults are not tolerable same as violence
Kumbe Jamaa cha matusi? Hio mitusi hata Mama yake akiona atashtuka sana
 
pole sana sativa255, kijana mpambanaji,
nakuombea kwa Mungu, ahueni na uponyaji wa mapema 🐒
 
Je unapomuua mwenzako .unauhakika hutakufa?
 
Nawaza kwa maandishi kwa njia ya kujiuliza.
  • hivi huu ukatili umeanza kurudi? Au ni njia ya kumchafua Fulani?
  • Je kama Fulani angekuwa muhusika kulikuwa na ulazima gani wa kumpeleka Arusha ndio apelekwe Katavi?
-Sio kwamba fulani anatengenezewa zengwe ili aonekane hafai katika jamii kutokana na historia yake ya nyumba ambayo hata hivyo haina uthibitisho wa wazi?
  • je fulani kweli ni mnyama kiasi cha kila wakati kutaka damu za watu?
  • je huyo fulani hana akili kiasi cha kutaka aletewe huyo mtu nyumbani kwake(mkoani) alafu ndio atoe amri nyingine ya mauaji?
-Je ni kweli kuwa aliyetumia kitu chenye ncha kali kumuadhibu jamaa alikusudia kumuua au kumuacha hai ili awe shuhuda wa kueleza sehemu alikopitishwa ili kuti kavu limwangukie Fulani?

(Maswali niliyonayo ni mengi ila kwa sasa inatosha kusema Kuna kitu hakiko sawa sijui ni akilini mwangu au ni katika tukio zima lilivyo)

Unafikiri fulani hajui zama zimebadilika na akawa amejifunza kutoka kwa swahiba wake aliyeshinda kesi juzi tu??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…