Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Hiyo mahakama yako na mumeo nyumbani?
 
Nchi ya hovyo sana hii!!
Usiseme ya hovyo alafu basi tafuta namna ya kukabililiana na ma fedhuli kama uko bongo kuwa makini kama uko nje tafuta jinsi ya kuijulisha duniani ushenzi wanaofanya na wakija huku kuomba omba ndio upambane nao hawawezi kukugusa jino kwa jino jicho kwa jicho mpaka wote tuheshimiane na kuishi kwa haki na sio kupora mali za watu ovyo
 
Hii kauli ndo siipendagi kabisa ukitoa kauli za huyu ni kama mama yako na hii yakusema wanamshauri vibaya kwani ye haoni mpka anashauriwa vibaya
Naomba nikupe elimu uelimike
Urais ni taasisi na rais hutegemea taarifa anazoletewa toka vitengo vya taasisi ya urais.. Taarifa hizo ndio humuongoza kutoa maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nikupe elimu uelimike
Urais ni taasisi na rais hutegemea taarifa anazoletewa toka vitengo vya taasisi ya urais.. Taarifa hizo ndio humuongoza kutoa maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu lakini jua rais wa Tz anamamlaka makubwa sana mimi naamini wanaomushauri anauwezo wa kutofata ushauri wao na akaamua yeye kama yeye
 

Ee MWENYEZI Mungu, nchi yetu inanuka RUSHWA na ufisadi kwasasa na kila anayepinga kwa nguvu anakamatwa. RUSHWA na ufisadi vimekithiri mpaka kwenye mishipa ya damu. Mungu wetu wanyonge wanaumia. Nakuomba wasambaratishe wote wanaokamata wenzao kwa Hila. Wachukue mmoja mmoja na adhabu Kali iwapate milele na wanyonge watapona
 
Magufuli anaingiaje Tena hapa
 
Sikutaki kukusikia, jinga wewe jitu zima nitaku block maana huna la kusoma toka kwako
Tena niblock sasa hivu tutusa wahedi

Huoni Mods wamenielewa na heading imerekebishwa?

Mkishakunywaga mbege mnakuwaga wa Hovyo sana, Kwanini msiseme atakayefuatia ni Mbowe mnamsema Baba askofu Mwamakula?!!
 
Hiyo mahakama yako na mumeo nyumbani?
Leo Bibi upo moto kwelikweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Au zile tetesi kuwa wewe ndio fake id ya bitozo ni kweli au uongo? Au wewe ni shoga yake bitozo? Au basi nisikusumbue Bibi.

Au bitozo ana id nyingine anayotumia kuzururia humu jf?
 
Nadhani ukisha wanyonga hawa hakutakuwepo upinzani wa uwekezaji wa bandari, watu wote wataukubali.
Watu hawataukubali huo uwekezaji hata unyonge wote wanaopinga wakiwa front line, bali hawathubutu kuupinga wazi wazi. Lakini lazima kuna jambo litafanyika, litafanyika vipi, usiache kufuatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…