Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Hao samaki wangechunguzwa kwenye miili yao halafu wagundue ni kipi kilichokuwa accumulated. Hii ingetoa mwanga wa kuanzia.

Huwa najisikia vibaya nikiona profesa anakuwa hivi.
 
Ila kweli nao wangetangaza kuw ni kemikali watu wamgekufa kwa pressure Ni vyema kutoa tarifa Kama hii kuliko kuleta taharuki ktk jamii tuombe mungu tusije pata madhara makubwa mbeleni

Serekali inamkono mrefu tuombe mungu sna madhara yasije kuwepo kwa binadamu
 
Na je ng'ombe huyo hula kg ngapi za nyasi ili kutengeneza hicho kinyesi cha kg 25?

Kuna wadau wanasema hatupaswi kupinga utafiti pasipo kufanya utafiti! Ila, kwa taarifa hii, maswali ni mengi kuliko majibu.

Najaribu kufikiria, kama mfugaji ana ng'ombe 10, kwa siku wanazalisha kg 250 za kinyesi.

Kuna haja sasa ya kutafuta namna ya kubadili hicho kinyesi kuwa malighafi. Tuzalishe hata gesi au chanzo kingine cha nishati ya kupikia (niliwahi kusikia kinyesi cha ng'ombe hutumika kama mkaa) Nchi hii ni tajiri jamani! Rasilimali zipo nyingi sana. 😁

Profesa keshasema ni kinyesi cha wanyama + mkojo!

Sasa tunahitaji wasomi wengine wasaidie kubadili hizo taka kuwa malighafi!

Endapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi...
 
Na je ng'ombe huyo hula kg ngapi za nyasi ili kutengeneza hicho kinyesi cha kg 25?
Kuna wadau wanasema hatupaswi kupinga utafiti pasipo kufanya utafiti! Ila, kwa taarifa hii, maswali ni mengi kuliko majibu...

Pinga maeneo mengine yote, lakini sio hilo la daily quantity ya huo uchafu. It’s a googleable fact!
 
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na nguvu za asili..

samahanini naomba niulize ina maana hawa ng'ombe wanakojoa mtoni tu na wakitaka kukata gogo wanasogea mtoni ama? maana kwa mi navyofahamu ng'ombe hata akiwa machungani anadondosha mzigo mambo yanaenda sasa hizi lita bilionk kadhaa za mikojo na tani kadhaa za kinyesi, dah au basi.
 
Ngombe hawa hawa wa mara mmoja anakunya kinyesi cha kg 25 na mkojo lita 21...
Hapo kwenye kilo 25 za kinyesi cha ng'ombe nadhani angeweka tembo ingefit zaidi, na sijui walipimaje hizo kilo na tani za mkojo.
Nnachojiuliza ni habari ya baric imeingiaje kwenye ripoti ya kitaalamu?
 
Back
Top Bottom