GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ahaaa !

Leo nimefurahia mambo mawili kumkata Gambo na ndugu yangu wa damu kutoka JF jina lake kurudi.

Hongera Sana pia pole Sana Byabato
 
Nionavyo akiwa VP inabidi SAMIA ajiangalie sana. Isije tangazwa tangazo la taifa huku yeye akiwa Mzena hospital maana huyu mwamba tangu zamani macho yapo kwenye uraisi
Ni kweli ila Hawa wote ni project za mifumo watajuana huko huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…