GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kulwa biteko kukoswa nimefurahi mno, magesa atatufaa wana katoro
 
Mzee Makamba atakua anasonya muda huu 😹😹
Si alisema wazuri hawafi, aje asifie chama chake kimemla kichwa mtoto wake..!!
Mzee umri utakuwa umeenda sana, pengine hawezi tena purukushani za kisiasa.
 
Naona awamu hii mama na mwanae hawana washindani kwenye kaya zao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…