WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Mama mweupe kichwani....Jamaa kishaandika barua ya kujiuzulu na imeletwa kwenu na imepokelewa , mmemkubalia, sasa mnachunguza kitu gani tena?
Hakuna haja ya kupoteza muda kuchunguza yanayojulikana, hivi Kinana akijiuzulu kesho kutwa ( kama tunavyotarajia ) naye atachunguzwa?
Acheni kutupotezea muda, jazeni nafasi zilizoachwa wazi
wajaze iliyowazi ili wakawamalize vizuri sana watoa taarifa right?Jamaa kishaandika barua ya kujiuzulu na imeletwa kwenu na imepokelewa , mmemkubalia, sasa mnachunguza kitu gani tena?
Hakuna haja ya kupoteza muda kuchunguza yanayojulikana, hivi Kinana akijiuzulu kesho kutwa ( kama tunavyotarajia ) naye atachunguzwa?
Acheni kutupotezea muda, jazeni nafasi zilizoachwa wazi
Umeme Mdogo Ndani Ya Ccm Sasa HiviNaunga mkono hoja 👍👏👏 ccm hamna umeme pale
sure,Naunga mkono hoja 👍👏👏 ccm hamna umeme pale
Wanajitekenya na kujichekesha.....Jamaa kishaandika barua ya kujiuzulu na imeletwa kwenu na imepokelewa , mmemkubalia, sasa mnachunguza kitu gani tena?
Hakuna haja ya kupoteza muda kuchunguza yanayojulikana, hivi Kinana akijiuzulu kesho kutwa ( kama tunavyotarajia ) naye atachunguzwa?
Acheni kutupotezea muda, jazeni nafasi zilizoachwa wazi
DABWalisema kuna picha zake chafu zimevuja, kumbuka kuchafuana kwa namna hiyo kulifanywa kwa;
Nani yupo nyuma ya hiyo movement na kwanini?
- Gwajima
- Majaliwa
- Chongolo
Kujiuzulu kwa mchongo hukoJamaa kishaandika barua ya kujiuzulu na imeletwa kwenu na imepokelewa, mmemkubalia, sasa mnachunguza kitu gani tena?
Hakuna haja ya kupoteza muda kuchunguza yanayojulikana, hivi Kinana akijiuzulu kesho kutwa ( kama tunavyotarajia ) naye atachunguzwa?
Acheni kutupotezea muda, jazeni nafasi zilizoachwa wazi
Hakuna cha Mungu tunusuru, CCM itatengeneza roboti ya Magufuli kwa kuwaunganisha wakatili wazoefu.God forbid.
Sasa na huo mwili mkubwa hivyo anatumaje uchi?Ilivujishwa chat Yake na kimada, eti walitumiana Nyuchiii.
Ko walimchafuaaa,
Before Makonda no Kashfa after Makonda kashfa why? Sio kwamba Kuna mtu anataka atambe vizuri hapo maana katika hali ya kawaida mwenezi alishawahi kuu juu ya KM akamdharirisha sana sasa ingekuwa rahisi akamtii kwa sasa? Naona kama wamesagiana kunguni hivi.Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Comrade Daniel Chongolo
Taarifa ya Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda imeeleza walioteuliwa kugombea nafasi ya Uenyekiti kwa mikoa ya Arusha, Mbeya na Mwanza pamoja na Wilaya za Mpanda na Kusini Unguja.
---
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema hayo leo Jijini Dar es salaam wakati akitoa taarifa kuhusu Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoketi leo Jijini Dar es salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kimejadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama hicho nchini na kimefanya uteuzi wa mwisho wa Wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kifo na uteuzi wa nafasi nyingine.
Pia soma:
- Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu
View attachment 2828888View attachment 2828889
Mwakajumilo tulijua yatamkuta29 November 2023
SABABU ZA KADHAA CCM KUTEUA WAGOMBEA NGAZI ZA WENYEVITI WA MIKOA NA WILAYA
CCM Wilaya ya Kusini Unguja itafanya uchaguzi baada ya kufariki ndugu Mgana Zidi Khamis aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja.
Kutoka wilaya ya Mpanda habari ni kuwa CCM inategemea kumpata mwenyekiti mpya
Mwenyekiti CCM Wilaya ya Mpanda marehemu Method Mtepa enzi za uhai wake. Picha na Mtandao
Huku CCM wilaya ya Mpanda
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Ccm wilaya ya Mpanda Bw. Method Mtepa alifariki dunia tarehe 19/09/2023 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Picha: Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza ndugu Sixbert Jichagu (katikati) akiwa na mkuu wa mkoa CPA Amos Makala (kushoto), wakati mkuu huyo wa mkoa wa Mwanza,alipofika ofisi za CCM kujitambulisha.
Na kwa uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, unakuja baada ya mwenyekiti wa mkoa wa Mwanza ndugu Sixbert Jichagu kuteuliwa kuwa DED mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi. Ndugu Sixbert Jichagu alichaguliwa kwa kishindo kikubwa mwezi September 2022 lakini mwenyekiti wa taifa akampangia kituo cha kazi mwaka 2023 kuwa DED halmashauri ya Masasi.
View attachment 2829053
Picha: mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya ndugu Dr. Stephen Mwakajumilo.
Wakati kwa mkoa wa Mbeya, mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya ndugu Dr. Stephen Mwakajumilo aliye mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC alileta mtafaruku kwa kuhoji sababu za miradi mingi kusimama baada ya Magufuli kufariki.
Pia mwenyekiti huyo wa CCM mkoa wa Mbeya ndugu Dr. Stephen Mwakajumilo alisema kunahitajika mjadala mpana kuhusu mkataba wa bandari na kuungana mkono wananchi walioomba kupatiwa sababu za, uhalali wa bandari kupewa DP World kwa mkataba ulioolekana kuwa na utata. Msimamo wa ndugu Dr. Stephen Mwakajumilo ukaistua CCM na hata makamu wa rais akasema kuwa wanaCCM hawana utamaduni wa kuhoji waziwazi bila kupitia vikao vya ndani vya CCM kama alivyofanya ndugu Dr. Stephen Mwakajumilo mbele ya vyombo vya habari.
Na mwisho CCM mkoa wa Arusha walimpoteza mwenyekiti wao wa mkoa, Kamishna Mstaafu Zelothe Stephen ambaye alifariki dunia hivi karibuni mwaka 2023.
KUmuweka makonda katibu mkuu ni dharau na kuimalizia CCM yetu rasmi.Jaribio la SSH kumfanya Makonda Katibu Mkuu CCM limekwama kwa kura nyingi, imebidi aombe akajifikirie upya aje na mtu mwingine
Yupo kituo gani tukamchukulie dhamana!Kwanini aliyejiuzulu awekwe chini ya Ulinzi ? acheni ushamba
Mwakajumilo tulijua yatamkuta
Kapelekwa kwenye UDC , mkeka ujao anatolewa !17 November 2023
Mwaka Mmoja wa Dr. Mwakajumilo Kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya
View: https://m.youtube.com/watch?v=DaBeb8ngVCg